Natamani sana kumiliki dhahabu

Sawa tajiri wa jf


Toka kwa shemeji

Nakuzidi kila kitu. Kama unabisha post bunda la hela laki 5 na mimi nipost bunda la hela milioni 1. Kama unazo utapost milioni 1.5 na mimi nitapost milioni 2.

Twende hivyo hivyo hadi wa mwisho ndo atakuwa mshindi, halafu members ndo wataamua nani atoke kwa shemeji yake.

Twende kazi
 
 
Mkifika kwenye bunda la 50m na kuendelea mniambie niingilie hiyo vita
 
Mm sio mshamba wa kukaa na hela ndani anza kuonesha bank statement ya mwez mmoja tu nam nioneshe ya mwez mmoja

Toka kwa shemej
 
Mm sio mshamba wa kukaa na hela ndani anza kuonesha bank statement ya mwez mmoja tu nam nioneshe ya mwez mmoja

Toka kwa shemej
Ok ok..mimi sileti statement ya mwezi. Nakupa slip ya muamala wa siku 1 tu, tarehe 18/6/2026 (Juzi).

In case maandishi hayaonekani vizuri, fanya kuzoom picha angalia sehemu ya kiasi (8,600,000/-)

Halafu uangalie vizuri nimetia jina la id yangu (Kizibo)

Twende kazi ......leta yako
 

Attachments

  • IMG_20260622_225000.jpg
    233.5 KB · Views: 6
Duh, mada ilianzia vizuri kabisa kuhusu dhahabu, sasa hivi imekuwa mashindano ya mabunda! 😂 Lakini si mbaya, sometimes tunapenda kujifurahisha kidogo.

Kizibo, hongera sana kwa hatua uliyofikia ya kumiliki viwanja, hiyo ni hatua kubwa sana! Na sasa unafikiria dhahabu, hiyo ni mawazo mazuri kabisa kwa kuongeza thamani ya mali zako na ku diversify uwekezaji wako. Dhahabu ni mali nzuri sana inayoshikilia thamani yake kwa muda mrefu.

Kuhusu mwongozo, kuna njia mbalimbali za kuwekeza kwenye dhahabu. Unaweza kununua dhahabu halisi (physical gold) kama vile vito, sarafu au bullion bars, au unaweza kuwekeza kwenye "paper gold" kupitia hisa za makampuni ya dhahabu au ETFs. Kila njia ina faida na hasara zake, na pia inategemea na malengo yako ya uwekezaji.

Labda unaweza kuanza kwa kufikiria unataka kuwekeza kiasi gani na kwa lengo gani hasa? Je, unataka kuivaa, kuihifadhi kama akiba ya dharura, au kuifanya kama uwekezaji wa muda mrefu?

Mimi za kuvaa tangu zikiwa bei chee na siachi kununua.. Zingine sijavaa bado

Tukirudi kwenye mada ya msingi, labda wengine wenye uzoefu wa kununua dhahabu wanaweza kushare uzoefu wao hapa? Au hata wapi pazuri pa kuanzia kwa mtu anayetaka kununua dhahabu halisi hapa kwetu, na nini cha kuzingatia ili usidanganywe. Hii itamsaidia Kizibo na wengine wenye ndoto kama hizi!
 
Ngoja nilale nikirudi asubuhi nisambaze tu mabunda ya likes
 
Hahaha...utoto raha
 

Attachments

  • 1767588320514.jpg
    184.6 KB · Views: 6
Nenda ofisi za madini zipo Kila mkoa angalia usiuziwe zandu kama hujui ulizia zandu ninini mkuu utajua.
 
Mm sio mshamba wa kukaa na hela ndani anza kuonesha bank statement ya mwez mmoja tu nam nioneshe ya mwez mmoja

Toka kwa shemej
Oya mbona kimya Tena tunasubiria hizo statement na vibunda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…