Natamani niwe mlevi

@Mshana Jr barikiwa mkuu na nmepokea baraka zako
 
 
Brother pombe zenye afya na za faida unaweza kutupa mwongozo kidogo ni za namna gani?
Naomba kujua pia hizi local bia zipo upande gani labda, ni pombe za afya na za faida ?
Natanguliza shukurani.
Waungwana wanasema too much is harmful
Kunywa unapokuwa na muda
Kula ushibe kabla ya kunywa
Kunywa kama una pesa ya ziada
Kunywa kwa kiasi
Epuka pombe kali hasa hizi za bei rahisi sana! Lakini kama ni mtumiaji kunywa kwa kiasi na usinywe kavu
Always kuwe na chupa kubwa ya maji kwenye meza ya pombe
Wahi kulala
 
Kampani na mazingira
Hivi vitu viwili hivi ni vichokoo vikubwa sana vya starehe
Kinondoni tulikuwa na bar zetu ambazo tulikuwa tunakunywa kwa bili.. Ilikuwa kulipa laki 3 mpaka 5 kwa wiki lilikuwa jambo la kawaida sana na tulikuwa watu saba tuu
 
Asante sana kwa mwongozo,
 
Vijana wa 96 hao...

Hakikisha unakipato kama utapenda Pombe lasivyo Shetani ata paa na wewe
 
yan mm mwanaum asiye kunyw pombe naona kma fala hiv
imagin unaenda lounge kaliiii afu u akunyw soft.drink vibe hnapafaje sasaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…