Nitampa darasa muruaKilevi kina gharama na kinakuja na extras
Piga hesabu kwa walevi wanavyotumia hela zao kwa siku x wiki x mwezi x mwaka halafu tafakari
Ila ni uamuzi wako pia kama umelifikiria hilo na umeamua kufanya good luck
Aisee kumbe kuna waalimuNitampa darasa murua
😂Aisee kumbe kuna waalimu
Karibu na siyo kalibu japo tupo chama mojaKalibu sana chama la wana.
Brother pombe zenye afya na za faida unaweza kutupa mwongozo kidogo ni za namna gani?Kama kweli unataka kuingia kwenye hiki chama jitahidi upate mentor mzuri kama mimi Jr ili uwe unakunywa pombe za afya na za faida...
Lakini ngoja nikupe kanuni 3 za msingi za kuanza nazo, utakapoanza kunywa pombe
Jitambue wewe ni nani
Fahamu uko wapi
Jua unachokifanya
kwenu hakuna wakubwa?Habari wana JF poleni na Majukumu ya kazi.
Kila Mwaka una kuja kwa namna yake ila mwaka huu nauona unanikalia tofauti kama si vibaya. Maana Toka Mwaka uanze najikuta katika Hali ya sintofahamu Juu ya hisia hii ya Ajabu inayonipata.
Hisia zenyewe ni jinsi nawatafakari watu wanaokunywa pombe kuona wanafaidi sana na kupata muda mzuri kujiondoa na stress ndogo ndogo.
Hii hali inanitia shauku sana nami nijiingize katika kundi hilo nikajionee kwa binafsi yangu namna wanavyofurahia Maisha yao pindi wakiwa mtungi.
Binafsi sijawahi kunywa kilevi chochote mpaka miaka hii 27 niliyonayo mpaka sasa.
Kheri ya Mwaka mpya Wakuu.
Achana na pombe, haina jipya zaidi itaharibu uchumi wako, waliomo wanataka kutoka sema ndio wameshakwama.Nataka starehe sio kukimbia Majukumu
Nakumbuka huko siku za nyuma miaka 2018, nilikuwa nawaza sana juu ya unywaji wangu,nilikuwa napiga hesabu pesa ninayo tumia kwa siku ,wiki hadi mwezi.Kama kweli unataka kuingia kwenye hiki chama jitahidi upate mentor mzuri kama mimi Jr ili uwe unakunywa pombe za afya na za faida...
Lakini ngoja nikupe kanuni 3 za msingi za kuanza nazo, utakapoanza kunywa pombe
Jitambue wewe ni nani
Fahamu uko wapi
Jua unachokifanya
Habari wana JF poleni na Majukumu ya kazi.
Kila Mwaka una kuja kwa namna yake ila mwaka huu nauona unanikalia tofauti kama si vibaya. Maana Toka Mwaka uanze najikuta katika Hali ya sintofahamu Juu ya hisia hii ya Ajabu inayonipata.
Hisia zenyewe ni jinsi nawatafakari watu wanaokunywa pombe kuona wanafaidi sana na kupata muda mzuri kujiondoa na stress ndogo ndogo.
Hii hali inanitia shauku sana nami nijiingize katika kundi hilo nikajionee kwa binafsi yangu namna wanavyofurahia Maisha yao pindi wakiwa mtungi.
Binafsi sijawahi kunywa kilevi chochote mpaka miaka hii 27 niliyonayo mpaka sasa.
Kheri ya Mwaka mpya Wakuu.
Kilevi kina gharama na kinakuja na extras
Piga hesabu kwa walevi wanavyotumia hela zao kwa siku x wiki x mwezi x mwaka halafu tafakari
Ila ni uamuzi wako pia kama umelifikiria hilo na umeamua kufanya good luck