kanyela mumo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 2,034
- 2,115
Na ili jua lilivyo kali, naagiza kuku mbuzi kiroho safi.
Nikukuona mwenzangu na mie nakuagiza unga wa Azam kilo 5 mpaka kumi, au tembele original kabisa.
Kama wewe kibopa nakuagiza ng'ombe mkubwa, najua mpaka ng'ombe aishe familia yangu shavu tayari..