devinyo1987
JF-Expert Member
- Mar 12, 2021
- 266
- 378
Wakuu je nisome kozi gani ya afya nije kuwa dokta wa upasuaji ata upasuaji mdogo
DaàaH dhambi sanaaNia yako uje ushike nyuchi za wake za watu
Bangi mbayaNimemaliza form 6 mwaka juzi nahangaika na ada kwanza nilipata 4
Nimefanya je kosa nini nimeuliza kama una jibu nipe maoni au mawazo ..kama huna kaa kimyaBangi mbaya
Ndo nimekupa jibu hlo mkuu bangi mbayaNimefanya je kosa nini nimeuliza kama una jibu nipe maoni au mawazo ..kama huna kaa kimya
Nia yako uje ushike nyuchi za wake za watu
Umesoma combination gani?Nimemaliza form 6 mwaka juzi nahangaika na ada kwanza nilipata 4
Wakuu je nisome kozi gani ya afya nije kuwa dokta wa upasuaji ata upasuaji mdogo
Comb ya nini wakati form 6 ana four? Lsbda aulizwe ufaulu wake wa form4 kama ana angalau D’s za physics,bio,chem+mathsUmesoma combination gani?
Usije ukawa umesom hkl wewe.
Kama result slip yake ya f4 ina angalau phyD,chem C,bioC na maths D hana haja ya kuaza na hiyo ya mwazoKama unataka kuanzia ngazi ya chini kabisa [emoji1313][emoji1313]
~anza na cheti cha utabibu (clinical assistant 2 years)
~then soma diploma ya utabibu (clinical Officer 1 year)
~then soma degree ya utabibu (medical officer 5 years)
Baada ya hapo utaenda kusoma huo upasuaji unaoutaka...kama specialist mfano surgeon etc