Natamani nisioe...!

Natamani nisioe...!

kiukweli kuna watu hatujaitwa kwenye ndoa,sali Mungu atakuonyesha ulipoitwa,lol
Mkuu izo ela unaziona nyingi sababu huna majukumu..
Ukioa utaziona sio kitu..

Unaitaji mtu wa kukufumbua macho problem is unafikiria sana vitu vya nyuma bado hujaamua kumove on..

Tafuta mda kaa chini jitafakari upya kwa nini mwanzo ulikuwa sawa na sasa umechange..?

Alafu usisahau kusali sana


Sent using Jamii Forums mobile app
Pole mkuu kwa matatizo, sahau yaliyopita tuliza akili ila wito wangu tafuta mtu sahihi kwa ustawi wa maisha kinyume na hapo unaweza juta kwa maisha yako usifate mkumbo

Sent using Jamii Forums mobile app
Keep up
Asante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wakuu poleni na majukumu kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza kiukweli kabisa kutoka moyoni imefika hatua sitamani kabisa kuoa , sina hisia kabisa na mrembo yeyote yule na nimemaliza takribani mwaka na ushee hivi sijawahi tongoza mwanamke yeyote yule wala kuwa na uhusiano na mtu na najiona fresh tu niko sawa.

Naishi maisha ya kawaida tu pesa si haba kwangu japo bado napambana nifike napo taka, nimepitia mahusiano kadhaa katika safari yangu ya kutafuta wife material lkn hayakuweza kufikia lengo.. yupo mrembo 1 alie yachanganya sana maisha yangu to totally crazy lakini baada ya mda nilikawa osawa

Umri wangu unaenda mbio kama saa mbovu, i wish ningekuwa na mke natamani sana lkn nimefika mda sina hamu kabisa ya mwanamke hata hisia ziko mbali japo genye zinazingua sometimes.
Changamoto kubwa nayoipata ni kutoka kwa ndugu jamaa na marafiki ndugu wanataka nioe kwa hali na mali, marafiki zangu wengi wameshaoa nimebaki mwenyew na ubachela sugu kuna wakati natamani nihame niende mkoa wa mbali na huku home lakini changamoto ni kazi niliyonayo mana ni binafsi na lazima niifanye huku niliko
Kwa mawazo yangu binafsi nilitaka nikae mbali kabisa na home ili kuepukana na presha ya ndugu na marafiki niwe free kabisa niiishi maisha yangu safi mpaka mwisho or hata nikioa na 35 + fresh tu..
Ushauri tafadhali.....!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila we mkuu nimekubari, we mjanja sana unae weza kucheza na saikolojia za single ladies wanao hitaji ndoa,,

Nahisi wapo mbioni wakiwazia jinsi ya kukufata huko Pm

Best wishes lkn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom