Demokrasia hufanya Kazi pale Serikali inapokuwa na Sera zinazotekeleza Mahitaji ya Raia wake

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,502
9,281
Utulivu wa Serikali za kidemokrasia umekuwa ukitaabishwa sehemu mbalimbali kutokana na uwezo wao mdogo wa kutoa Usalama wa Kiuchumi kwa Raia wao

Kutokana na Serikali nyingi kushindwa kutimiza mahitaji ya Raia wao, kutoaminika na kushuka kwa thamani ya Demokrasia miongoni mwa Raia kumeongezeka.

Kutoaminika huku kunajidhihirisha katika kupungua kwa idadi ya wapiga kura, na maoni ya Umma kwa Taasisi za Serikali, Maandamano na hata Mapinduzi


========

Contemporary democracy is faced with new and growing challenges. The stability of democratic governments has been threatened in part by their diminished ability to provide encompassing economic security to their citizens.

As democratic governments have failed to meet their citizens’ demands, disaffection and skepticism of the value of democracy among citizens has increased.

This alienation is reflected in declining voter turnout, opinion polls showing reduced commitment to democratic institutions, increased admiration of authoritarian leaders, and growing vote shares for extremist candidates and parties proposing antidemocratic alternatives.

Rising disaffection with democracy has gone hand in hand with increasing support for exclusionary ethnic politics (see below The costs of identity politics).

Democracy works best when governments have incentives to pursue broadly encompassing policies that benefit the citizenry as a whole. This is most likely when political competition is robust and governments can legislate effectively.

Diminishing competition between political parties and political fragmentation (which tends to increase with the number of parties in a national legislature) are therefore bad for democracy. A group of legislators will find it easiest to make a collective decision if all of its members have similar preferences.

If their preferences differ, they can still manage their disagreements tolerably through negotiation, compromise, and sometimes logrolling (the trading of votes by legislators to secure favourable action on projects of interest to each), so long as none has preferences that are abhorrent to others.

Fragmented governments find it harder to enact policies that benefit most people, because they often depend on the support of voters with widely divergent preferences. This in turn reinforces the perception that one group’s gain is another’s loss.
 
Is this yours or someone else ideas? Acknowledge or sign for yourself

Equal playing field, construction protection, declaring interests where possible
 
Is this yours or someone else ideas? Acknowledge or sign for yourself,

Equal playing field, construction protection, declaring interests where possible
You mean "there's no intellectual humility", do you?
 
Demokrasia haifanyi kazi popote pale. Ingekuwa nzuri ungeona UN inaongozwa kidemokrasia.
 
Mfumo gani unafanya kazi ambao utatufaa na sisi??
Mifumo yote ina kasoro. Ila afadhali udikteta kuliko demokrasia. Udikteta wa mtu au military junta unatufaa zaidi. Hata udikteta wa chama una afadhali kuliko demokrasia.
 
Mfumo wowote unaoshindwa kusaidia Raia wake haufai kwa Jamii husika, Dmeokrasia inayopigiwa kelele na mataifa ya magharibi kwa nchi zinginr ndio chanzo hasa za mivutano, Migogoro na kelele nyingi.
 
Demokrasia ya vitabuni ni kama Ukomunisti wa vitabuni hii mifumo duniani haiwezekani kutekelezeka inapaswa itafutwe namna bora ya kufanikisha mambo.
 
Back
Top Bottom