Natamani mwenye gari aione hii picha

Natamani mwenye gari aione hii picha

ndio anaeiendesha mkuu

Sidhani kama kuna mmiliki anayeweza kulifanyia hivi gari lake. Huyu dereva hana uchungu na mali hii........... na ndivyo ilivyo kwa waliowengi.... ukikuta gari linakimbizwa kwenye mawe na mashimo bila huruma jua si la mmiliki
 
nzalendo jambo ulilolisema japo ni chungu lakini lina ukweli...

kwenye point ya mwili hapo!

cc mshana jr
 
Last edited by a moderator:
UTAMU WA SAFARI SASA IWE ANAENDA MWENDO MKALI, BREKI ZA OVYO OVYO, BARABARA IWE MATUTA KWA SANA, AVUTE MAFUTA OVYO OVYO, ageuzie barabara za vumbi kwa mwendo wa speed120.....

safari itakaa poa sana!
Wow! Avatar ya Kanumba hiyoooo! Kama kuna mtu hapa JF hataki kanumba akumbukwe kwenye avatar aanzishe thread anitag (SHIEKA)niisome.
 
Zanzibar huko. Wako kwenye maandamano...
 
inasemekana watu waliozaliwa huko pamoja na pwani ya afrika mashariki ni laini,kiakili na kimwili.

Ndio maana Jeshi la Mkapa likapata kichapo ambacho wale wa mainland walokazana hawawezi kutoa....
 
Wow! Avatar ya Kanumba hiyoooo! Kama kuna mtu hapa JF hataki kanumba akumbukwe kwenye avatar aanzishe thread anitag (SHIEKA)niisome.

Thump up!

Ngoja nisikilizie feedback kutoka kwa wadau.
 
Hizo ni Gari Used Third Hand huwa zikichoka zinauzwa Bongo
 
Back
Top Bottom