Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 8,584
- 17,526
The world ain't fair

Paka huyu Choupette amegonga vichwa vya habari kote duniani kwa
1.Kuwa na utajiri wa dola milioni $15m
2.Anadereva wake
3.Anawahudumu 2 (Françoise & Marjorie)
4.Ana mrembeshaji 1
5.Analala kitandani
6.Anakula mezani
7.Safari zake nyingi ni za ndege za kibinafsi
8. Anamiliki ukurasa wa instagram wenye wafuasi 260k
9. Anamiliki ipad
10. Alilipwa dola milioni $3 kwa kushiriki maonyesho
Soma zaidi kuhusu Paka huyu bilionea hapa
Choupette: Paka mwenye utajiri wa mamilioni ya dola
: choupettesdiary Instagram
View attachment 1029119

Paka huyu Choupette amegonga vichwa vya habari kote duniani kwa 1.Kuwa na utajiri wa dola milioni $15m
2.Anadereva wake
3.Anawahudumu 2 (Françoise & Marjorie)
4.Ana mrembeshaji 1
5.Analala kitandani
6.Anakula mezani
7.Safari zake nyingi ni za ndege za kibinafsi
8. Anamiliki ukurasa wa instagram wenye wafuasi 260k
9. Anamiliki ipad
10. Alilipwa dola milioni $3 kwa kushiriki maonyesho
Soma zaidi kuhusu Paka huyu bilionea hapa
Choupette: Paka mwenye utajiri wa mamilioni ya dola
: choupettesdiary InstagramView attachment 1029119

nipe no zake nimuulize