Natamani kuwa na mpenzi

katika posts nlizoishiwa points aisee hii imenibamba.
God bless ur target dear
 
ungekaa hivyo hivyo kwanza. wapenzi wanahitaji uvumilivu usijeparamia kicheche ukaishia kupata magonjwa
 

ok........
 
DU matangazo ya namna hii yamekuwa mengi mno humu ndani , nakushauri uyapeleke makanisani au misikitini ikibidi hata vituo vya mabasi.
heee hee heeeeeeeeeeee.

Acha umbea wewe,hilo cheko la umbea kabisaaaah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…