Natamani kuwa na mpenzi


sante!
 
Cha kufanya ni Wewe jitahidi tu kuwa mtu mwema akiishi maisha mema badala ya kutafuta Mpenzi mwema kwani ukiwa hivyo utawavuta wenye sifa kama zako. Alafu unataka mchumba mwema au mke mwema
 
Last edited by a moderator:
Hongera zako nyingi sana Mkuu mpaka hapo ulipofikia. Story yako imenigusa mno...Hongera zako nyingi sana.


 
Last edited by a moderator:
Naomba kueleweshwa kidogo endapo me sijui au ni system ya siku hizi, kuna mahali umesema unaendea 30's'then hapo hapo mwishoni umesema kwamba umemaliza form six mwaka huu hapo sijaelewa vizuri hapo au kuna form 6 za watu wakubwa siku hizi ambazo ni vyuo vya watu binafsi??

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Enhe, majanga unaweza tafuta tiba kumbe unatafuta maradhi mengine ya moyo
 
DU matangazo ya namna hii yamekuwa mengi mno humu ndani , nakushauri uyapeleke makanisani au misikitini ikibidi hata vituo vya mabasi.
heee hee heeeeeeeeeeee.

Ayaaa!! Msikitini na kanisani tena!???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…