Tim Choice
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 2,093
- 1,261
last week nimempokea rafiki yangu mkenya toka nairobi.ni graduate wa Kenyatta university.kaja tanzania kujaribu bahati yake ya kusaka maisha bora.akaniambia hana hamu na maisha ya kenya ya kukosa ajira.
kilicho muuma ni kwamba pale boda ya namanga,amegonga week moja wakati lengo lake ni kuishi bongo mda mrefu.nikamwambia aondoewe shaka.kapata rafiki "born-town" mtz.kila kitu kitaenda sawa.
MK254.
Tutajuaje haukula RUSHWA kumtafutia mhamiaji haramu uhalali.....halafu mambo yenu/ yako na rafikizo kuna haja gani kumwaga humu jamvini?.......vyombo vya usalama vimshughulikie huyu.......mfisadi.