Natamani kuwa Mkenya

Natamani kuwa Mkenya

Unatamani kuwa Mkenya?

Ukishakuwa Mkenya: unaweza kuwa Mkikuyu au Mjaluo...?
 
Kijana kuna kitu tumemnogesha nacho hapa mombasa,huko kwenu tanzania si hamumpi dushe,"umeniboa sana we dogo"
 
Ni week ya pili toka nitoke Kenya, vitu nilivyoviona huko sitamani hata kuwa mtanzania. Watu wako serious bwana, kuna barabara za juu kila kona pia wanajenga railway ya kisasa kutoka Mombasa hadi Nairobi.

Sisi watanzania sijui tumelaaniwa nini jamani.

"Halafu nilifika Kibera nikatamani kuishi Uwanja wa fisi"
 
Ni week ya pili toka nitoke Kenya, vitu nilivyoviona huko sitamani hata kuwa mtanzania. Watu wako serious bwana, kuna barabara za juu kila kona pia wanajenga railway ya kisasa kutoka Mombasa hadi Nairobi.

Sisi watanzania sijui tumelaaniwa nini jamani.

Ungebaki huko huko tu, kwanini umerudi?
 
Ni week ya pili toka nitoke Kenya, vitu nilivyoviona huko sitamani hata kuwa mtanzania. Watu wako serious bwana, kuna barabara za juu kila kona pia wanajenga railway ya kisasa kutoka Mombasa hadi Nairobi.

Sisi watanzania sijui tumelaaniwa nini jamani.

11260948_1070515092977043_6166984075722543588_n.jpg

11351146_1070515842976968_5682567970224850060_n.jpg

11255259_1070521696309716_3735786793160014247_n.jpg

11260948_1070515092977043_6166984075722543588_n.jpg
 
Ni week ya pili toka nitoke Kenya, vitu nilivyoviona huko sitamani hata kuwa mtanzania. Watu wako serious bwana, kuna barabara za juu kila kona pia wanajenga railway ya kisasa kutoka Mombasa hadi Nairobi.

Sisi watanzania sijui tumelaaniwa nini jamani.

ukishahamia huko usilete threads zako za kijinga tena. tena uondoke mapema we ndio nuksi tz.
 
Tanzania haiendelei sababu ya watu kama ww, badala ya kutamani nchi yako ifanye maendeleo kama hayo we unataka kuukimbia utanzania.pumbavu sana
 
sisi tunajifariji na safari ya matumaini. wenzetu wana safari za uhakika.
 
Nimeona usaidie kumpa mawazo kijana naona kakata tamaa na bongo

Rafiki yetu MK254 atafurahi kuona hivi!

kui Iko siku utanielewa tu, mimi kwa kweli huwa sipendezwi na nchi yenu kuwa nyuma, kila nikija Bongo huwa naziona fursa nyingi sana ambazo nyie mumeziacha wazi na kulalamikia serikali kila siku. Wakenya wengi huwa tukija tunazichangamkia na kusepa. Nchi yenu imebarikiwa pakubwa na kila kitu, ila kwa utendaji mpo nyuma sana.

Unakuta Mtanzania analalamika eti rais Kikwete kawadanganya kuhusu maisha bora kwa kila Mtanzania ambayo hayapo, ila Mkenya akija huwa anaona hiyo fursa ya maisha bora kwa kila mtu na anaichangamkia. Serikali haiwezi kukuwekea chakula mezani, ni jukumu lako wewe kujipikia na kujipakulia. Kwetu Kenya tunafunzwa jinsi ya kuwa mgomvi (aggressive) tangu utotoni, tungelegea kama nyie yaani tungekufa zamani maana nchi yetu asilimia 80% ni kame tupu na hailimiki.

Wabongo mmezoea nyimbo na vijisababu vya uswahilini, mara eti IDD Amin, Kegara war iliwafanya mlegee, Tanzania potential, Wazungu waliwasaidia Wakenya n.k. Ngonjera na utepetevu mwingi tu, kama ni ufisadi hata sisi tunao, kama ni uongozi mbaya hata kwetu ndio usipime.
 
Last edited by a moderator:

Umeongea kama wanaume mia
 
Last edited by a moderator:
Wewe inaonyesha hiyo ndio safari yako ya kwanza kutoka nje ya TZ. Pole sana. Huko China wana kila kitu kizuri lakini wanakimbilia TZ bora auze pipi na karanga. Hao Wajapan walo kibao TZ wanafaidi ugali wetu wenye vitamini na bei rahisi, sasa mwambie arudi kwao utaona hilo tifu lao hata mikataba hawatamani iishe. Sasa wewe unatamani kuhamia Kenya wakati wenyewe wanatamani kuwa wa TZ hadi wanazamia. Hivi ulishawahi kuona waTZ wakazamia nchi nyingine za Africa zaidi ya South Africa? Watanzania wanazamia nchi zinazoeleweka sio wewe unataka kuhamia huko omba uraia watakupa
 
Ni week ya pili toka nitoke Kenya, vitu nilivyoviona huko sitamani hata kuwa mtanzania. Watu wako serious bwana, kuna barabara za juu kila kona pia wanajenga railway ya kisasa kutoka Mombasa hadi Nairobi.

Sisi watanzania sijui tumelaaniwa nini jamani.

Duh! Ama kweli miujiza haitaisha duniani. Yaani unatamani kuwa Mkenya? Nadhani siku nyingine ukienda Puntland Somalia utatamani pia kuwa Msomali. Lakini ni kawaida kwa wanaosafiri nje kwa mara ya kwanza, ila nakushauri nenda kawaulize kwanini wanajazana hapa Bongo?
Tena umenikumbusha, kule Kenya kuna mfanyabiashara mmoja maarufu sana wa madini anaitwa Paul Kobia, lakini akikutana na wageni wanaofika Kenya hujitambulisha kama Paul Ilunga Ngoei na kujifanya ni raia wa DRC huku akijichanganya na Wacongo kama Jean Claude Mundeke Kabamba a.k.a Mundeke Dako na yule Sofapaka.

Ova
 
Ni week ya pili toka nitoke Kenya, vitu nilivyoviona huko sitamani hata kuwa mtanzania. Watu wako serious bwana, kuna barabara za juu kila kona pia wanajenga railway ya kisasa kutoka Mombasa hadi Nairobi.

Sisi watanzania sijui tumelaaniwa nini jamani.
hujui process za kuomba uraia?
 
Mkuu upo sahihi, watanzania tuko nyuma sana, lakini tunapenda kupiga porojo kuwa tuko fit kila idara, lakini ukiangalia vya kushindanishwa kuanzia soka, michezo yote ya Olympic, uchumi nk tuko hoi! Mi mwenyewe nimetoka huko juzi, nawaambia wale ambao bado hawajafika, kenya wakisimama leo wasifanye chochote miaka 10,bado hatutowafikia chochote. Mi nashangaa watu wanao endelea kuwakumbatia ccm chama kilichoshindwa miaka 50 kuleta maendeleo, wakati wakenya waliachana na kanu zamaniii!!
 
Sasa kama unatamani ungekuwa mkenya c uludi huko huko kenya uchukue na uraia kabisa,raia kama nyie ambao sio wazalendo ndio hatuwataki hapa Tanzania.
 
usiseme "Sisi watanzania" sema "Mimi Mtanzania nimelaaniwa au"
 
msimshambulie mleta mada yawezekana ndo mara ya kwanza kuiona nchi nyingine tofauti na Tz kwani huwa hamuoni Mtz akitoka mikoani akija Dar anavyosifia akirudi kwao wakati wengine mnalalamika jiji chafu,foleni ndo usiseme,vbanda umiza vpo katikati ya jiji
 
kenya watu wanajitambua aisee sio kama tanzania hata ukiangalia siasa ya kenya ni tofauti kabsa na bongo. Huku lowasa anajulikana ni mwizi na hawezi kuongea lakini coz anatumia hela basi watu wanataka achukue nchi ili wanufaike baadae that shame
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom