Natamani kuwa Mkenya

Natamani kuwa Mkenya

nimechafukwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2013
Posts
290
Reaction score
237
Ni week ya pili toka nitoke Kenya, vitu nilivyoviona huko sitamani hata kuwa mtanzania. Watu wako serious bwana, kuna barabara za juu kila kona pia wanajenga railway ya kisasa kutoka Mombasa hadi Nairobi.

Sisi watanzania sijui tumelaaniwa nini jamani.
 
Be the change you want to see in the World (Tanzania)

[MENTION]Bulldog [/MENTION]

Hiyo statement ameisema Mahtama Gandhi, nimesahau kuedit.

Afterall hao wakenya wanatamani kuhamia tanzania. Neema ipo huku bhana.
 
Hiyo statement ameisema Mahtama Gandhi, nimesahau kuedit.

Afterall hao wakenya wanatamani kuhamia tanzania. Neema ipo huku bhana.

Nimeona usaidie kumpa mawazo kijana naona kakata tamaa na bongo

Rafiki yetu MK254 atafurahi kuona hivi!
 
Last edited by a moderator:
Tatizo la bongo kuna siasa maneno mengi bila vitendo
 
Tanzania and kenya are the same but not similar-by Makuku Rey
 
Wakenya wenyewe wanatamani kuwa watanzania, daily husumbuliwa na al-shabab yaani hawana amani
 
Nimeona usaidie kumpa mawazo kijana naona kakata tamaa na bongo

Rafiki yetu MK254 atafurahi kuona hivi!

Jamaa amevutiwa na mipango miji ya nairobi na majengo marefu yaliyojengwa na masettlers. Sasa hivi Kenya kuna shida balaa, hakuna ajira, njaa, usalama kitendawili.

Wanatamani kuhamia Tanzania kwenye neema na opportunity ya kutoka kimaisha.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: kui
We mshamba Kweli unatupa almasi unakimbilia chupa wakenya wenyewe wanashobokea Tanzania.

Usipokuwa na akili ya kutoka ukiwa kwenye mazingira ya Tanzania hata upelekwe wapi utakuwa kilaza
Tu.
 
ni week ya 2 toka nitoke kenya vtu nlivyoviona huko sitamani hata kuwa mtanzania..watu wako serious bwana....kuna barabara za juu kila kona...pia wanajenga railway ya kisasa kutoka mombasa adi nairobi...cc tanzania sijui tumelaaniwa nn jaman...

sasa umefika hapo kenya tu unaukana utanzania ungefika duniani je??!!
 
ni week ya 2 toka nitoke kenya vtu nlivyoviona huko sitamani hata kuwa mtanzania..watu wako serious bwana....kuna barabara za juu kila kona...pia wanajenga railway ya kisasa kutoka mombasa adi nairobi...cc tanzania sijui tumelaaniwa nn jaman...
We tatizo lako kubwa sio jingine ila ni ushamba tu. Na kama sikosei wame ku"mombasa" huko ndo maana umenogewa.
 
ni week ya 2 toka nitoke kenya vtu nlivyoviona huko sitamani hata kuwa mtanzania..watu wako serious bwana....kuna barabara za juu kila kona...pia wanajenga railway ya kisasa kutoka mombasa adi nairobi...cc tanzania sijui tumelaaniwa nn jaman...

Wabongo mnasadiki kula na kusema mtu ukipewa nafasi piga chako mapema, tutafikaje. Kila mtu anawaza nyumba yake na watoto wake akimaliza hapo shangazi zake halafu mabesti zake.

Ukipiga hela uchunguzi haukupati na hatia, ukiitwa bungeni kujitetea unawaambia kumbe mnaniulizia vijisenti na hela ya mboga, unajiuzulu halafu unagombea uraisi halafu wananchi wanakupigia kura mpaka unashinda halafu unaipiga hela nyingi kuliko Ile ya kwanza, mtaifikia Kenya vipi?
 
ni week ya 2 toka nitoke kenya vtu nlivyoviona huko sitamani hata kuwa mtanzania..watu wako serious bwana....kuna barabara za juu kila kona...pia wanajenga railway ya kisasa kutoka mombasa adi nairobi...cc tanzania sijui tumelaaniwa nn jaman...

Duh... wewe ni mtu usiejielewa kuliko wote kwa mwaka huu... na ukienda Cairo? South Afrika je utasemaje? Ukienda ulaya nako, marekani? Kweli hujielewi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom