Natamani kuwa malaika

You take it too personal. Kuhusu LJD Kwa ujumla huu wimbo kachemka, badala ya kusonga mbele anarudi nyuma, watoto wamenuna, Video imeboa, mmmmh

Lady Jay Dee, kaimba vizuri sana tena sana wala hajachemka.
Jamani WaTanzania tujifunze kusifu pale inapostahili.
Mnyonge mnyonyeni, haki yake mpeni
 
Back
Top Bottom