Natamani kuwa karibu sana na huyu dada lakini nashindwa

Habarini wakuu,

Kuna dada mmoja mzuri sana shombeshombe tunakaa nae mtaa mmoja. Ameamia hivi karibuni, anaishi mwenyewe. Nimetokea sana kuvutiwa nae, angalau niwe karibu nae, tuwe tunabadilisha mawazo, nimtoe hata outing chache.

Kila nikijaribu kumzoea nashindwa zaidi ya kumsalimia basi, nashindwa nimuingie vipi ili ajue nataka niwe karibu nae tuu hata kwa stori tuu.

Nifanyeje wakuu? Nahitaji mawazo yenu, najua kwenye hili jukwaa la Ma-Great Thinkers hapashindwi kitu
tafuta number yake ya simu umtumie milion mbili kila siku kwa muda wa siku 5
 
Jiangalie kwenye kioo mkuu...je sura yako inavutia? Maana inawezekana sura inatisha hadi anakuogopa.....wanawake pia wanachagua mkuu xo kama sura mbovu fuata level zako..
Am very sory kama nimekuboa.
 
Back
Top Bottom