Naomba kama huna ushauri wa maana usicomment hapa please sitaki ugomvi na mtu huku
ok tuendelee
kwanza napenda kumshukuru mungu juzi last week nilitimiza miaka kadhaa kwa kweli mimi ni mtu mzima sasa
sitaki kurudia tena makosa ya utotoni/ujanani
sasa bwana mimi nina shida moja kutokana na huu uzee nilioingia sometimes nakuwa ni mtu wa hasira hasira na huzuni sana hata kwa vitu vidogo...so natafuta kitu ambacho nitakuwa nafanya ili mind yangu irelax nimenotice ukiwa na accumulation ya vitu kichwani ..unakuwa haupo happy saana!
Naweza kukumbuka hata jambo la huzuni la mwaka juzi naumiaa!sasa nataka nijaribu kitu ambacho kwa muda flani kinanipeleka dunia ingine
rafiki zangu walinifundisha pombe ila mimi imenishinda naona chungu sana ..halafu kesho yake kichwa kinauma kama kinataka kutoka nimeshindwa kabisa
unga naO naona ule unakuwa jinga sana tena useless huku duniani
mashost wameniambia bange haina madhara tena inakufanya uwe na nguvu mara mbili eti
naombeni ushauri...
Copy kwa wavuta bange wote humu ndani kama wapo
yesu ni rafiki yangu sana tu..kwa kweli na kanisaidia mengi sana hata hapa nilipo ni yeye tumy friend, shetani ni mbaya sana...liitie jina la yesu, omba utisho dhidi ya pepo wabaya, jiombee rehema na baada ya hapo, kubali kuwa mtoto wa yesu!..huatajuta, ni raha tele,maisha bure,kwa kuwa dereva wako ni ni yesu, sheyani hataomba rift...
nishauri hapa hapa pm sio nzuri zinamkaribisha shetani ndugu
sina shida kiivo kaka naridhika na nilichonacho sema nataka kuvusha kwa muda nile raha kama wengine sio kila saa unaona tu dunia hivi hiviwazo zuri, ila haitakuondolea shida zako. Cha msingi shughulikia shida zako ndipo utakapo pata furaha ya kudumu.