Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,682
Teh tehYaani hawa ndo wanaotuchafulia hali ya hewa humu ndani!
Wanaboa!
Hapana aisee mi nimefurahishwa na Kipipi anavyopewa hasira na hawa jamaa Eliah G Kamwela nikija na ID mpya utanijua tu wala sifichiMkuu Erickb52,mbona wafurahi?
Kulikoni,ni Id yako nyingine nini?
Teh teh
Mkuu Erickb52,mbona wafurahi?
Kulikoni,ni Id yako nyingine nini?
Ngoja nizikumbuke ntakuambia nikimaliza kuzihesabu ila ninayoikumbuka Erickb52 tu
Wewe je?
Kipipi ID moja ina raha yake otherwise ni utoto ndio unasababisha watu kuwa na ID nyingi au jukwaa la siasa.
Pole mwaya.....!
Kwenye wengi kuna mengi Kipipi
You are right mumy!No need my dear,
I was just trying to reason something!
Anyways . . . . let me leave it as far as people do differ!
ngoja nikipita sokoni.later nitakufyatulia picha. Sasa kama una issue muhimu m-pm invisible au maxence melo. Wasipokujibu (manake siku hizi wajeuri hao kama sambusa za mihogo), pm mai hazbend Paw, atakujibu kwa ufasaha. Ndo ananisomeaga pm zangu, feel free.