Ili upate scholarship ni either upo very competent kwenye academics (I mean really competent yaani straight A student), au upo kwenye special groups, hapa naongelea disabled people, orphans e.t.c. Nje ya hapo labda scholarship na kampuni ambayo umefanyapo kazi na ukaonyesha very high competency, hizi ni chache sana though.
Kama una sifa yoyote kati ya hizo then tafuta scholarship unaweza bahatisha, kama upo nje ya hizo then sahau kwa bachelor degree, huwezi chomoka. Kaa hakikisha unapiga BSc first class hapo hapo Tanzania, ukimaliza tafuta scholarship Masters nenda piga nje.
Kaza buti nje panafikika, mwanzo mgumu sana ila ukibahatisha sehemu moja tu ukajituma kwa bidii utachomoka, the world is a very beautiful place, komaa uzunguke uone dunia.