kluger
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 2,093
- 1,905
Wasalaam wadau,
Naomba ujuzi wenu na techniques ambazo naweza tumia kama mhitimu wa masters, MBA kuweza pata sponsorship au hata scholarship kwa ajili ya masomo ya PhD nje ya nchi, Asia, Europe au American.
Natanguliza shukrani, nikitaraji mawazo yenu ya kujenga na si kukosoa na kubisha bila way forward.
Ahsanteni.