Natamani kurudi kijijini msimu huu

Du mkuu umetisha kazi ngumu kutembea distance ndefu hakuna kujifungua kwa operations
 
sisi kileji tulikuwa twayatumia kama staftahi hayo...
 
mpwa kipochi cha kijijini kinakua hakina shuruba nyingi

Hahahahaaa kweli mpwa kama hivi vya mjini viko busy kama matusi ya kuku hapohapo mapenzi, hapohapo uzazi, hapohapo haja kubwa, hapo hapo haja ndogo hapohapo naniliu duuu!
 
Du mkuu umetisha kazi ngumu kutembea distance ndefu hakuna kujifungua kwa operations

Umesahau kutembea umbali mrefu kutafuta maji kwenda hospital kujifungulia chini bila madawa

ccm hoyeeee
 
FD ni wewe ndiye uliyemponza, sasa anafikiri ananijua, tena ameanza mambo ya elimu kama vile kweli anayo,

wewe tafit kwenye hii forum huwa hatuongelei elimu maana tunajua kila mtu anayo humu, tunachotaka ni hoja bro Ditopile!

Kihujumiwe chama chawala
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…