hekimatele
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 9,889
- 2,808
mh! am gonna try it
sawa kabisa kiongozi,,Even if he/she will be postive, still anayo nafasi ya Kuishi na Kutimiza Ndoto zake - ili mradi tu afuate ushauri atakaopatiwa na Wataalam !!
mie mwenyewe hiyo physical death naiogopaje.......,
naogopa kwakweli
mh! am gonna try it
Endelea kuogopa mwaya. Wala usipime. Kwanza we si haunaniliugi?
Au?
hahaaa kupima lazima lakin lini,naogopa kuchukua hayo majibu best acha tu
habari wana Jf natumaini mu wazima wa afya,
Naleta Thread yangu kwenu niweze kupata ushauri. ila ctapenda maneno ya karaha .
Natamani kupima afya yangu ila naogopa majibu, najua wengi mmepima. nahitaji faraja zitakazonisukuma niweze kutimiza ndoto hii.
Hivi kwa nini unaogopa kupima? mi hata bila ushauri nasaha napima tu.