Natamani Kupima HIV Naogopa

Natamani Kupima HIV Naogopa

pozzyfaza

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2012
Posts
1,453
Reaction score
268
habari wana Jf natumaini mu wazima wa afya,
Naleta Thread yangu kwenu niweze kupata ushauri. ila ctapenda maneno ya karaha .
Natamani kupima afya yangu ila naogopa majibu, najua wengi mmepima. nahitaji faraja zitakazonisukuma niweze kutimiza ndoto hii.
 
Una uhakika gani kua wengi wamepima?....
by the way if you are ready to face physical death then go for the testing.....
mi mwenyewe naogopa kwenda...
 
Hiyo ni mojawapo ya best decision you ever made in your life..

Just go and Test bro.. Majibu yoyote utayopata, hautajutia uamuzi kwa ku test..

The possibility of an HIV free generations begin with you...
 
Kinachokufanya uogope ni kipi?

Nadhani kwa mtazamo wangu, hilo jambo likifanyalo uogope ndiyo iwe chachu ya kukufanya ufikie uamuzi wa kupima...
 
Walaa isiogope...utapata counseling nzuriii....ni bora upime ujijue kuliko kukaa tu kimya halafu unao ..cd4 zinashuka habari huna..siku mbili kifo..bora ujue ili km umeathirika utumie dawa hapo unajihesabia miaka ya 30+ kuwa na ukimwi sio kufa atiii....kuna watu wana HIV na hawajawahi kulazwa hospitali
 
Kiukweli mara nyingi wanaoogopa sana kupima wanakuwa HIV negative..

Mimi niliogopa hadi nikataka kudata.. Lakini after a test results comeback negative..

Uoga niliokuwa nao hadi counselor akacheka mwenyewe
 
Una uhakika gani kua wengi wamepima?....
by the way if you are ready to face physical death then go for the testing.....
mi mwenyewe naogopa kwenda...

mie mwenyewe hiyo physical death naiogopaje.......,

naogopa kwakweli
 
anza kuongea na mind yako daily ukiambia iwe tayari na ujaribu kuona maisha ya waishio na VVU in a positive way, ujipe practise ya kusema na mind yako hata miezi 2 then utakua rede ukiongezea na ushauri wa mshauri majibu hayatakua kikwazo tena kwako
 
njo kwenye facility yangu ntakupima majibu ntakutumia kwenye email
 
Una uhakika gani kua wengi wamepima?....
by the way if you are ready to face physical death then go for the testing.....
mi mwenyewe naogopa kwenda...

Observation nzuri apo kwenye color.
 
Hiyo ni mojawapo ya best decision you ever made in your life..

Just go and Test bro.. Majibu yoyote utayopata, hautajutia uamuzi kwa ku test..

The possibility of an HIV free generations begin with you...

Siasa hii! Ha ha ha ha...... just kidding!
 
Its better to know your health status before its too late,just go
 
Msifanye masiara Mutu ikisema inaogopa kupima ujue kuna tatizo hapo!
Afu kupima sio issue! Issue ni kupokea majibu!
Mm nimepima mara tatu lakini sjachukua majibu!!!!
 
Back
Top Bottom