Natamani kupata demu wa kizungu.

Natamani kupata demu wa kizungu.

Nimekuwa nikitaman sana kula nyama nyeupe, kwn hizi nyekundu zimenichosha...! Kama kuna demu mzungu humu jf naomba tuwasiliane.
Screenshot_20181204-213926%7E2.png
changamka kijana mwenzako Hussein machozi ameshajiongeza
 
Mtu mweusi huwa ni chaguo la mwisho..kwao..labda itokee kama kakupenda yeye..napo ni bahati sana
Jaribu..ku google hili nalo kwambia utanipa jibu..hata kwenye dating site mtu mweusi ana hard time ya kudate nje ya race yake..nakushauri fanya uchunguzi kwanza utaona majibu
Kwa wazungu hapana,wanapenda sana Ngoz Nyeusi watu ambao hawapend Ngoz Nyeus hasa watu wa bara la Asia
 
Kwa wazungu hapana,wanapenda sana Ngoz Nyeusi watu ambao hawapend Ngoz Nyeus hasa watu wa bara la Asia
Kwa wazungu hapana,wanapenda sana Ngoz Nyeusi watu ambao hawapend Ngoz Nyeus hasa watu wa bara la Asia
Ukiwa chotara ni Rahisi zaidi kupata huyo mzungu tofauti kama ukiwa Pure black,kuna Caucasuns fetures watu weusi huwa hatuna , ntazungumzia kwa upande wa mwanamke
1.Asymmetrical Face..(sura nyembamba..hapa sisi wengu wetu huwa tuna sura pana ana
2.English Figure.wazungu wanapenda mwanamke flan mwenye umbo jembammba
3.Macho..blonde eyes
Kidogo ukiwa chotara unaweza kumvutia huyo mzungu kuliko ukiwa pure black..izo no baadhi tu ya sababu niliwahi kuzikuta mtandao flan wa whites
 
Wazungu, waarabu, wahindi wabaridi Kama friji,ukichovya mara moja hurudi Tena, huwezi kuwafurahia,ila wazungu wana afadhali kidogo,nenda bagamoyo au Kilimanjaro utawapata, usisahau kuleta mrejesho
bora wazoefu mseme ...mimi autimaticaly mzungu naona hanivutii...ila paja tu la mbongo aisee....balaa
 
Wazungu wabaya mkuu... labda upate ile rangi wanaita chocolate sijui
 
Kwa wazungu hapana,wanapenda sana Ngoz Nyeusi watu ambao hawapend Ngoz Nyeus hasa watu wa bara la Asia
Afadhal hata ww unisaidie kwa hili watu wa asia wengi ndo hawapendag ngozi nyeusi kuna jamaa alipata demu wa kihindi demu kamuelewa jamaa ile mbaya sasa balaa likaja jamaa alipoenda kutambulishwa nyumbani hivyo vikwazo alivyokutana navyo kwanza mzee wa kihind anamwambia bintie umetuletea nn hichi?...jamaa alichoka nakumbuka sharti mojawapo alilopewa jamaa ni kuwa lazima awe na kabati tatu za boxer na chupi yy na bbie kila mmoja...! Mkali aliamua kuachana na yule mhindi so kwa vikwazo vile...!
 
Back
Top Bottom