Mbona unaleta dhihaka za ajabu ajabu hapa JF.Jamani nahisi nimechoka na hawa wa2 weusi, baadhi ya waafrica 2mezidi jamani kutapeliana kimapenzi, angalau wenze2 wazungu ubabaishaji si sana.. nahisi nikikosa kuolewa na mzungu nitakaa single tu.. labda atokee mwafrica mwenye uzungu qualifications nimechoka na unafiki wa wa2 weusiiii.. hata mi ni mweusi japo kua lakin sina mambo hayooo.. am tired!!!
Mzungu ndiyo nani?.
Umekutana na wangapi mpaka uamue kuhamia airtel?Jamani nahisi nimechoka na hawa wa2 weusi, baadhi ya waafrica 2mezidi jamani kutapeliana kimapenzi, angalau wenze2 wazungu ubabaishaji si sana.. nahisi nikikosa kuolewa na mzungu nitakaa single tu.. labda atokee mwafrica mwenye uzungu qualifications nimechoka na unafiki wa wa2 weusiiii.. hata mi ni mweusi japo kua lakin sina mambo hayooo.. am tired!!!
hehehehhh!mapenzi ya kihindi au kichina.nadhani ajaribu hapa.isitoshe wahindi ndiyo hawatamsumbua sana, wanashinda dukani huku wanakula tambuu.Kama unatafuta mzungu sababu umechoka kutapeliwa basi unaweza kua disapointed maana matapeli ni kote kote. Just like kua faithful sio exclusivity ya wazungu kua unfaithful sio exclusivity ya watu weusi.
Maybe unawaona weusi matapeli sababu unaishi nao wengi na umejoonea baadhi yao wakitapeli. Ukiishi na wazungu na ukawachunguza utajionea pia. Na mbona hujataja mhindi au mchina? Wenyewe nao matapeli?
Kama unataka mzungu sababu unahisi kuvutiwa na wazungu (kwa maana ya kwamba kua mzungu tu tayari amesha fanya nusu ya safari) basi try to hang out where most of them do hapo I
Unapo ishi.
Ikibidi nenda specialised sites kama meetics na zingine, make it clear unataka mzungu.
Good luck
Jamani nahisi nimechoka na hawa wa2 weusi, baadhi ya waafrica 2mezidi jamani kutapeliana kimapenzi, angalau wenze2 wazungu ubabaishaji si sana.. nahisi nikikosa kuolewa na mzungu nitakaa single tu.. labda atokee mwafrica mwenye uzungu qualifications nimechoka na unafiki wa wa2 weusiiii.. hata mi ni mweusi japo kua lakin sina mambo hayooo.. am tired!!!