Soma mstari wa mwisho wa post yangu hapo juu iliyowekewa mabano.
Hahahaa. Hapana,hizo siasa za kutoana macho ni siasa za walevi,wastaarabu hufanya siasa kwa hoja. Binafsi napenda mwanamke anaeweza kunipa changamoto kidogo,anajua jua vimambo,mbishi kidogo,asiekubali jambo kijinga jinga,asiefuata mkumbo. Lakini maoni ya watu hapa pia yanazingatiwa.
Vizuri sana mkuu. Ndio maana nimeweka wazi la moyoni hapa ili watu kama wewe wanipe mawazo. Nashukuru kwa ushauri wako mkuu.
Mkuu kutokana na michango yako...ama kwa hakika unaitendea haki avatar yako.....THUMB UP
Aaaahh....shikamoo shem..
Karibu Mkuu, Natumai utapata vitu vipya vingi vitavyokupa changamoto mpya. Kila la kheri brother
Nashukuru sana mkuu KikulachoChako.. uwe na wakati mwema
unataka kuninyima nini na shikamoo zako... hahahahaaa.. marahaba shemeji yangu.. mzima weye?
Hahahahaaa....mi mzima shem nimezikubali nondo zako
Karibu sana shem... inabidi unipe mdogo wako yule mrembo mrembo yule nimlee pole pole... si unajua wazee ndio tunaongoza kwa ma-care? hahahahhahaha:cool2::cool2::cool2::cool2::cool2::cool2::cool2:
Hahahaaa usijali shem mimi na wewe tena...ntakupa aisee maana naona ameanza anatishia uhai wa ndoa yangu
Mature woman umri unaanzia 30...hao unaona wenye upeo wa kila kitu mostly wako in their 30s...wewe oa ambae atakuwa na muelekeo wa kuwa smart later...below 30 music..movies ndo wakati wao....watakomaa taratibu..
Hahahaa. Hapana,hizo siasa za kutoana macho ni siasa za walevi,wastaarabu hufanya siasa kwa hoja. Binafsi napenda mwanamke anaeweza kunipa changamoto kidogo,anajua jua vimambo,mbishi kidogo,asiekubali jambo kijinga jinga,asiefuata mkumbo. Lakini maoni ya watu hapa pia yanazingatiwa.
Natamani
sana kuoa lakini sioi kwa sababu aina ya wanawake naotaka hawapo au wote
wameolewa.
Ukiacha sifa za kwanza za mke mfano awe na upendo, mzuri, mvumilivu,
mtafutaji, muelewa nk.
Mimi nataka mwanamke mwenye sifa za ziada kidogo maana sifa hizo hapo
juu sehemu kubwa ya wanawake wanazo.
Nataka mwanamke mwenye ufaham wa wastani au zaidi wa mambo mengi mfano
uchumi, sheria, tekinolojia, sayansi, siasa, dini, falsafa.
Mwanamke anaeweza kujenga hoja, kupambanua mambo mengi vizuri.
Mwanamke anaejua muziki, filamu na mapenzi tu simtaki, hanifai.
Mabinti wengi wa siku hizi wanajua mapenzi, filamu na muziki, mambo
mengine hawajui na hawataki kujua, ukileta hoja nje ya hayo anayoyajua
atabakia kuitikia tu "ndio mzee" maana hajui.
Wanawake wa ndio mzee mimi siwataki.
Hicho ndio kinasababisha nashindwa kuoa ingawa natamani. Wewe kwa nini
huoi, huolewi. (najua kuoa au kuolewa sio lazima)
Sifa wanazotaka wao we unazo? Una gari nzuri? Una nyumba nzuri uzunguni? Una sex body yenye 6pacs? Una mho.. Sijui? Una pesa za kutosha? Ajira yako ama ofisi yako ni high quality? Kwanza hata uHB unao kweli? Je kimo chako? Utakuta una sifa moja tuu kati ya hizi ama huna kabisa halafu unataka.... Fyofyoto!! Keep cool and love ur woman if u have one..
je wewe unataka mwanaume atakae kuoa awe na sifa hizo ulizotaja?