Natamani kumuoa ila.,....

May be na wewe sio Hazibendi material.. maana wanawake wanavyopenda kuolewa afu wewe huoni..,
By th way, What goes... What comes...

Mkuu siwezi kujisemea but nahisi ni husband material ila labda sijakutana na pair yangu
 
mwanamke akipenda anapenda kweli, siwezi kukuhukumu kwa kuwaumiza wadada wa watu myb ulikua ni ujana. ila amini usiamini ogopa sana kumuhumiza mtu nafsi yake in future, you will pay it.......

tatizo la vijana wengi tukiwa tunatafuta mchumba factor kubwa tunayo. consider Mara nyingi ni je? kifaa nachotaka weka ndani ni chaukweli? jamaa zangu wata appreciate? mi naamini wanawake kuna wanawake wengi tu ambao ni wife material ila boys ndo tunamatatizo!!!! tafuta mwanamke unayezani unaweza fanya nae maisha then funga ndoa, dnt care what others are just thinking about you.....ila lazima ukawaombe msamaha wale wote uliowaumiza nafsi zao unless mambo yako yataenda ovyo daima...
unachosema ni kweli kabisa,nt nimejaribu ku consider hata zile factor ndogo kabisa lakini bado sipati,,kuhusu la kuwaomba msamaha nimejitahidi kwa asilimia 60,,wote niliowahi waumiza au watenda nw nipo nw vizuri bt walio baki kila napo pata nafasi namwomba Mungu anisamehe on behalf
 
Kwani we "nakupenda lakini nna mpenzi wangu" unaitafsiri vipi?
unajua mara nyingi watu wanakuwa kwenye uhusiano bila kutambua wapo kwa ajili gani,,inwezekana ni mazoea ndo yanafanya watu waendelee kuwa pamoja japomapenzi yamepungua,,

hizo sababu hufanya watu kuanza kutafuta mibadala bt kwa umakini kuhofia kurudia makosa tena,,hapo ndo nakupenda ila nina mtu wangu inapokuja,,,,huo ni mtizamo wangu tu ndo mana lile swala la kukomaa likaniijia kichwani pengine kwa uelewa wangu mfinyu nikiwaza hivyo
 
wanasema KARMA IS A BITCH........

vyovyote vile matendo yako yanakurudia......

ushauri wangu kwako ni kuwa ndo hailazimishwi kwa kukomaa na mtu eti hadi kieleweke....

hebu jaribu kuacha kutafuta mchumba kama mwaka mzima hivi na ikibidi ufanye maombi....

halafu watafute wale wooote ulio wakosea zamani ukaombe msamaha au kuondoa 'black cloud' kati yenu....

jisafishe kwanza kwa sala na kukaa mbali na uzinzi.....na jifunze kuwa kawaida hivi.....
yani kabisa the boss, unachowatendea wenzako leo lazima matendo yako yatarudi, wadada wa watu waliumia mioyo yao.
lakini always kuna second chance, afwate tu ushauri wako and i hope things will work out.
 
yani kabisa the boss, unachowatendea wenzako leo lazima matendo yako yatarudi, wadada wa watu waliumia mioyo yao.
lakini always kuna second chance, afwate tu ushauri wako and i hope things will work out.

lakini sister,mbona na mimi9 nilishawahi kutendwa sana tu?
 
malipo n hapa hapa dunian"kpnd unaruka ruka hukutambua nan wa kuoa hta km walkua na nia nawe...2..ulikuwa na unaish kwa wacwac ukifkr kila anaekuja keako anataka vjsent vyako dat z buusht
 
malipo n hapa hapa dunian"kpnd unaruka ruka hukutambua nan wa kuoa hta km walkua na nia nawe...2..ulikuwa na unaish kwa wacwac ukifkr kila anaekuja keako anataka vjsent vyako dat z buusht
kaka nisingeweza kuoa wakati muda hujafika
 
yani hata sielewi aisee
kismat kimeenda wapi,kama nimelogwa vile
ulijiloga mwenyewe, anyway take time mungu ni wa wote mambo yatakuwa powa ila usitafute kwa pupa nenda taratibu utampata si unajua hata ukiwa umepoteza kitu ukiwa unatafuta kwa haraka ukipati lakini baadaye unakuja kukipata sehemu ambayo hata ukuitegemea so tulia tu nenda taratibu.
 
Back
Top Bottom