Wadau mnisaidie, niko katika umri ninaotakiwa kuoa. Lakini siku zote nimekuwa na ndoto ya kuoa mwanamke wa Kinyarwanda na hasa awe Mtutsi.
Navutiwa kwa urembo wao ila sijui tabia zao. Anayewajua anijuze. Vipi tabia zao za jumla? Nitawapataje ilhali Niko Dar? Msaada tafadhali.