selina mrembo
Member
- May 18, 2020
- 54
- 68
Wewe hapo umezingatia uandishi? Sijawahi ona aina ya sentensi yako kwenye kiswahili ata siku moja kiima na kiarifu kiko wapi eti unaandika Nani alafu ana kukimbiza duh!! Kosoa wezako ukijiona mwenyewe upo complete in words sio unaongea tu.Andika ivi Nani anakukimbiza? Basi wewe na mimi wote tunakimbizwa.Nani ana kukimbiza uko? Andika kwa kuzingatia alama za uandishi itapendeza
Bata mzinga bata wa kawaida mana wapo aina mbili ila nafurahi naisi ntakuwa na akili za bata mzinga ushawahi muona bata mzinga mbona poa sana woyoooo!!Una akili za bata
Kwaiyo unataka kuanza kushona suruali zako zilizochanika au nikupe na sindano.Wewe si ndo ulileta huu Uzi? Naomba msaada, kasi yangu ya uelewa darasani imepungua
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Una miakili ww.Usipende kushindana na mwanaume shost, mwisho wa siku itakula kwako.
Subiri ukiolewa ndio umuweke mumeo dp au umpost kokote unakotaka, maana huyo ni mali yako ya halali kabisa ila hawa bfs sio salama.
Mkuu Mimi nimekuuliza tu kwa mia nzuri lakini umeleta mipasho,huenda ndo maana jamaa alikuacha maana una maneno ya shombo sana, na huyo ulienaye ukidumu naye kwa miaka miwili nitakupa pesa,Kwaiyo unataka kuanza kushona suruali zako zilizochanika au nikupe na sindano.
Sibishanagi na walevi spendi kurushiwa mate sasa iyo id na hii inahusiana nini acha umbeaMkuu Mimi nimekuuliza tu kwa mia nzuri lakini umeleta mipasho,huenda ndo maana jamaa alikuacha maana una maneno ya shombo sana, na huyo ulienaye ukidumu naye kwa miaka miwili nitakupa pesa,
Wewe una nyota ya single mother hadi kiama ya miwili,
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Umeamua kutoa lana [emoji3]Mkuu Mimi nimekuuliza tu kwa mia nzuri lakini umeleta mipasho,huenda ndo maana jamaa alikuacha maana una maneno ya shombo sana, na huyo ulienaye ukidumu naye kwa miaka miwili nitakupa pesa,
Wewe una nyota ya single mother hadi kiama ya miwili,
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Sawa tu mlevi Naye mtu,ila Mimi nilikuuliza swali tu ambapo ungejibu ndio au hapana tusingefika huku.Sibishanagi na walevi spendi kurushiwa mate sasa iyo id na hii inahusiana nini acha umbea