Natamani kumpost...

Natamani kumpost...

selina mrembo

Member
Joined
May 18, 2020
Posts
54
Reaction score
68
Nilikuwa na mwanaume ambaye tushaachana kwa sasa, tulibahatika kupata mtoto mmoja tuliachana katika ugomvi flani tulirushiana maneno mengi mengi ila sio matusi wala sio kashfa ni ya kawaida tu. Mimi nimepata mwanaume handsome yani yeye haingii kwa huyu japo naye ni mzuri pia kama kuna post yangu mliiona kuwa kasoro yake ni mwislamu.

Natamani nimweke dp amwone tukiwa pamoja mana nikiwekaga picha ya mwanaume anaoneshaga kuumia. Tumeachana lakini yeye anaona dp yangu. Nilipenda sana niendelee kuwa na baba mtoto ila alikuwa ataki kurudi nyuma kakomaa tuachane sijui kwanini anaumiaga nikiweka picha.

Kuna siku nilimweka mwanaume wangu wa zamani kabla yake kwasababu alikuwa anamfahamu akaanza kutuma text za kulalamika kwanini nimemweka x dp wakati mimi na yeye hatuna mahusiano na alikuwa kwenye mahusiano mengine mapya nashindwaga kumuelewa kwanini ataki kuniacha free niendelee na life langu yaani ananifatilia ninachokifanya tangu mwezi wa pili hatuna mahusiano nimekaa kwa mda bila kuingia wasap juzi amenitumia text mbona niko kimya sana sionekani wasap jana katuma tena text naendeleaje ivi nimweleweje uyu x wangu.

Na alishawahi nidivert wakati tulishaachana watu waliokuwa wananipigia simu call zilikuwa zinaenda kwake badae nikaona wananiuliza mbona tukipiga simu anapokea mwanaume no imeishia ivi no ambayo ni ya x wangu nilivyompigia kumuulia akawa anagoma akidai hajui ila alikili kweli kuna call zangu zinaingia kwake ila akasema ajadivert na ajui imekuaje ikabidi nipige simu customer care nilivyopiga wakanambia kweli kanidivert wakanambia jinsi ya kujitoa nikajitoa ila nilivyomuomba anitoe akawa anadai hajui jinsi ya kujitoa.
 
Last edited:
Usipende kushindana na mwanaume shost, mwisho wa siku itakula kwako.
Subiri ukiolewa ndio umuweke mumeo dp au umpost kokote unakotaka, maana huyo ni mali yako ya halali kabisa ila hawa bfs sio salama.
 
Nani ana kukimbiza uko? Andika kwa kuzingatia alama za uandishi itapendeza
Wewe hapo umezingatia uandishi? Sijawahi ona aina ya sentensi yako kwenye kiswahili ata siku moja kiima na kiarifu kiko wapi eti unaandika Nani alafu ana kukimbiza duh!! Kosoa wezako ukijiona mwenyewe upo complete in words sio unaongea tu.Andika ivi Nani anakukimbiza? Basi wewe na mimi wote tunakimbizwa.
 
Kwaiyo unataka kuanza kushona suruali zako zilizochanika au nikupe na sindano.
Mkuu Mimi nimekuuliza tu kwa mia nzuri lakini umeleta mipasho,huenda ndo maana jamaa alikuacha maana una maneno ya shombo sana, na huyo ulienaye ukidumu naye kwa miaka miwili nitakupa pesa,

Wewe una nyota ya single mother hadi kiama ya miwili,
 
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Sibishanagi na walevi spendi kurushiwa mate sasa iyo id na hii inahusiana nini acha umbea
 
Mkuu Mimi nimekuuliza tu kwa mia nzuri lakini umeleta mipasho,huenda ndo maana jamaa alikuacha maana una maneno ya shombo sana, na huyo ulienaye ukidumu naye kwa miaka miwili nitakupa pesa,

Wewe una nyota ya single mother hadi kiama ya miwili,

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Umeamua kutoa lana
 
2.3293577096165796E18.jpg
 
Back
Top Bottom