Natamani kumpiga Mjamzito, naona kama anaanza kunidharau

Mwanaume ukipenda kushinda nyumbani kila muda, mwanamke wako atakuletea mazoea ya kila aina.

Huyu mjamzito mvumilie, Wazee wetu hawajatufunza kupiga mwanamke.
 
Huyu ni mwanamke ninae ishi nae ana ujauzito wa miezi 5 nimeanza kuishi naye baada ya yeye kuwa na hiyo mimba. Amekua akinikorofisha mara nyingi sana Mimi nimekuwa mpole na nimekuwa nikipotezea ili mambo yaishe tuu.

Sasa naona kama ameanza kuzidisha yaani naona kabisa anavuka mipaka. Jana nimerudi nyumbani usiku wa saa 4 na dakika zake. Chaajabu nimerudi nyumbani nimekuta huyu mwanamke hajapika chakula, namuuliza kwanini nashangaa anaanza kuwa mkali eti nilijisahau ngoja nikupikie ugali haraka haraka. Nikamuuliza ulikuwa unafanya nini hapa nyumbani mpaka umeshindwa kupika, akaanza kuwa mkali sana. Nikaona isiwe kesi nikaoga zangu kisha nikaingia ndani kulala.

Nimeandika kiufupi sana ila huyu mwanamke anafanya mambo mengi sana ya ajabu ajabu ambayo sina uhakika kama mimba ndio sababu kuu, nataka nimtembezee kichapo sasa.

Nauliza wadau nikimpiga kichapo kitakatifu. Je, kuna madhara yoyote ambayo anaweza kuyapata mtoto wa tumboni. Kama kuna mtu ambaye alishawahi kumpiga Mjamzito aje aniambie kwake baada ya kumpiga Huyo Mjamzito nini kilitokea.
Asee kuna siku shemeji yako nilikuta kanichemshia dagaa na chumvi tuu eti ndo viungo anasema ndo zinavitamini nilitamani kupiga mwano
 
Una nyota ya jela, hata hivyo hayo ndo matokeo ya kuoa kabla hujawa na ukomavu wa kifikra,malezi na ndoa
 
Huwa nachoka pale ambapo mwanaume anaona mimi ndio mpishi wake hata kunisaidia hawezi hata kwa kipindi cha ujauzito pia jamani, wamama wa nyumbani msio na ajira popote mlipo poleni sana

Yani hela za kila mwezi nikupe, kileleni nikufikishe, na kupika nikusaidie, huwez kuwa serious, sasa kama mwanaume, ninachofaidi kwenye mahusiano ni nini..?? Sweetiepie
 
Back
Top Bottom