Natamani kumpiga Mjamzito, naona kama anaanza kunidharau

Mnamshambulia bure mtoa mada, nikweli mke awapo mjamzito hubadilika tabia na hii hali huisha pale tu anapojifunhua. Ia kuna baadh tu ya wanawake hutumia mimba kama kichaka cha kujificha ili tu wawakomoe wame zao, na unakuta mke anapiga stor na mashoga zake at ngoja aje nitamuonesha hivo ukimgundua mke wa hivo yakua anazidisha mbwembwe za mimba umfanyeje sasa
 
Mnamshambulia bure mtoa mada, nikweli mke awapo mjamzito hubadilika tabia na hii hali huisha pale tu anapojifunhua. Ia kuna baadh tu ya wanawake hutumia mimba kama kichaka cha kujificha ili tu wawakomoe wame zao, na unakuta mke anapiga stor na mashoga zake at ngoja aje nitamuonesha hivo ukimgundua mke wa hivo yakua anazidisha mbwembwe za mimba umfanyeje sasa

Mimba ni nusu ya uchizi ikiamua kukupelekesha, we unadhani zile ni akili zao
Muwe wavumilivu tuu
 
Hahaha.
Mpgie na fimbo ya chini.

Nakumbuka wife alikuwa anakuudhi then ukitaka kuanza kujibu unapgwa denda then anavua nguo. Hahahah kipindi kile natamani kirudiwe, ila si kipindi cha kubembeleza sauti ya kichanga sa 4 usiku mpaka kumi na moja alfajir
 
Mchape fimbo matakoni na vibao mashavuni ...usimguse tumboni
 
Jitafakari wewe ukipigwa na mtu yeyote jinsia yeyote utachukuliaje au utajisikiaje then chukua hatua kwa mjamzito
 
Nakushauri usimpige jitaidi sana wakati huu mfupi wa ujauzito uwe mpole kabisa na ujitaidi kuzungumza nae kipole sana yani kama hujui kubembeleza inabidi ujifunze na kama unajiweza kiasi jitaidi kila mala urudipo nyumbani mbebee zawadi yoyote mfano chakula akipendacho kama mishikaki, soda ama juis, nguo za ujauzito, rosheni etc.

Kama huna sababu maalumu ya kukawiza kurudi nyumbani jitaidi kukaa nyumbani baada ya kazi usaidiane nae kazi za nyumbani japo mala moja kwa wiki pikeni pamoja sio kitu kibaya.

Ukikuta hajapika muulize kipole sana ikibidi huko unakotoka usiku uwe unakula hukohuko ili home kwako ukikuta hajapika unalala tu.

Kuna wanawake wana viburi toka wakiwa makwao huko kwahyo inabidi uende nae taratibu sana maana unaweza hata kumfinya tu yeye akajitupa sakafuni tena anatanguliza tumbo chini ili aumie yeye na mtoto na hapo ndio utawaona ndugu zake na serikali. Halafu kitu kingine unapompiga mkeo lazima utajisika vibaya sana na kujutia kitendo chako hata kama ni kweli alikua amekukosea na utapata mzgo wa kuanza kumbembeleza atulie

Fikilia sasa umerudi saa4 hajapika ukampiga badae ukaanza kumbembeleza atulie hadi inafika saa 8 ndo mnalala, kesho yake uamke saa12 kwenda kazini daah mbona upotezaji wa muda huo wa kuuchapa usingizi halafu nikwambie kingine ukimpiga mkeo usiku kama n mtu wa hasira sana anaweza kukuvizia ukiwa umesinzia akakupiga hata kisu cha kifuani.

Ukishindwa hayo hapo juu basi LA mwisho na lenye nguvu ambalo mim mwenyewe nalitumiaga sana ni KUMPUUZIA TU na kutokumjali kwa lolote atakalofanya asipopika nakula hotelin ama nampa jirani hela akahemee apike tunakula wrote, asipofua nampa buku5 jirani anafua, mbona ataanza kujishtukia utasikia anaakuuliza ina maana hunioni hadi unamtuma flani???
😁😁😁😁 NENO! Barikiwaaaa
 
Usipige mwanamke,awe na mimba au la.Tumia busara zaidi.Kama ataendelea na tabia hizo hata baada ya kujifungua tafuta ustaarabu wako,achana naye.
 
Kwani hana kwawo mkuu au ulimkuta wp kama hujamuowa mwambie baba yako anakuja kwaiyo aende kwao Mara moja akitoka tu ndyo kimoja
 
Huyu ni mwanamke ninae ishi nae ana ujauzito wa miezi 5 nimeanza kuishi nae baada ya yeye kuwa na hiyo mimba..

Amekua akinikorofisha mala nyingi sana ,Mimi nimekuwa mpole na nimekuwa nikipotezea ili mambo yaishe tuu..

Sasa naona kama ameanza kuzidisha yaani naona kabisa anavuka mipaka,,..
Jana nimerudi nyumbani usiku wa saa 4 na dakika zake..

Chaajabu nimerudi nyumbani nimekuta huyu mwanmke hajapika chakula,,namuuliza kwanini nashangaa anaanza kuwa mkali eti nilijisahau ngoja nikupikie ugali haraka haraka..

Nikamuuliza ulikuwa unafanya nini hapa nyumbani mpaka umeshindwa kupika ,,kaka anza kuwa kakali saaana...nikaona isiwe kesi nikaoga zangu kisha nikaingia ndani kulala..

Nimeandika kiufupi sana ila huyu mwanamke anafanya mambo mengi sana ya ajabu ajabu ambayo sina uhakika kama mimba ndio sababu kuu...nataka nimtembezee kichapo sasa

Nauliza wadau nikimpiga kichapo kitakatifu Je kuna madhara yoyote ambayo anaweza kuyapata mtoto wa tumboni.....

Kama kuna MTU ambaye Alisha wahi kumpiga Mjamzito aje aniambie kwake baada ya kumpiga Huyo Mjamzito nini kilitokea....
Ukipiga mwanamke si utaua? Mwanamke hapigwi utampiga wapi sasa, tafuta namna nyingine ya kumwadhibu ila sio kumpiga
 
Brother alikuwa anaambiwa ishia getino weka hizo sambusa Na mazagq mengine Hapo Ondoka akionekana Shem anajisikia kutapika ....But hakuchoka Akiondoka usiku atapigiwa simu am3misiwa .....hakuchoka

habari ya miwa sijui nataka keki za kwa hadija saa 8 usiku ilikuwa kawaida ..but hakuchoka ...finally katuletea baby boy G 6 years now ....Anaendeleza ukoo wa mr M ....

USICHOKE MKUU KAWAIDA HIYO
 
Ili swala ata mimi huwa linanikera sana ivi Wajawazito wanafanyaga makusudi au? yani nakerekaga sana Mno yani...naona kama wengine wanatumia advantage ya walicho beba
 
Back
Top Bottom