Unafanya kazi gani mchumba....
nina miaka 27, nina degree moja! baada ya kuumizwa sana x wangu na kupona, ni wakati mwafaka kwangu kumpata mwingine! kwa msichana ambaye yupo serious aliye tayari tuwe na mahusiano ya kweli yenye malengo. nitampenda kwa moyo wangu wote, nitamjali wala sitomwumiza!
pia ategemee maisha tutayaanza pamoja!
napenda mrefu, (mm ni mrefu 182cm). anipm
Kwenye urefu mbona hapo umepata F??? Hebu simama
tuchangamkie fursa dia....kaahidi atapenda mpk atajining'iniza...Mmmh huyu siyo S....... hahahaaa
Unafanya kazi gani mchumba....
tuchangamkie fursa dia....kaahidi atapenda mpk atajining'iniza...
huchelewi
Jameni sa si nitakuwa nalingana na ndizi sukari....
Hiyo ndo jf usitegee userious hapa....na hata darling usidhani utampata wa seriousyaani mnafanya jokes wakati nipo seriously. jf bhana