Natamani kujua mishahara ya hawa watu

LENGISHO

Senior Member
Sep 15, 2017
169
245
Jamani kuna mtu anayejua mshahara wa Rais wa Tanzania ni kiasi gani? Kuna mtu kaniambia ni $200,000 na kitu kwa mwaka.

Sikuamini lakini akanihakikishia kuwa taarifa zake ni za uhakika. Bado ninasita kuamini ingawaje sina taarifa zozote na sijawahi kuona mahala popote pale kuhusu mshahara wa Rais.

Mshahara wa makamu wa Rais..
Waziri mkuu..
Spika wa bunge..
Mkuu wa majeshi ya ulinzi polisi,magereza..
Jaji mkuu..

Kama kuna mtu anayejua...ni wapi tunaweza kupata taarifa hizi?
 
Kaka mambo mengine ni kheri usiyajue maana utaumia hadi kaburini...ni sawa na kupekua simu ya mpenzi wako....acha kabisa ni mwiko!!
 
Hahaha ungekuwa umefanya jambo jema kama ungeuliza na kazi zao wanazozifanya. Wanaitwa tu, rais, makamu wa rais na waziri mkuu, lakini hakuna walifanyalo lakini wanalipwa, halafu wewe unaambiwa eti kalime, kilimo kina manufaa.
 
Back
Top Bottom