Wabongo bwana mdada wa watu kuuliza ki uungwana anaomba kujuzwa ila mijitu humu bhna,mara wa kuokoteza mara tigo ndio nini sasa.
Nafasi zikitika mama utasikia kwa washauri wa mgambo kule wa kila wilaya na kunakujitolea jkt kwanza mama kisha utamua uelekeo wako.
Pole kwa majibu uliyapata ya kukuvunja moyo,jamii forum sio wote wakubwa kifikra wengine bado watoto sana