Natamani kuishi na mwanamke

Natamani kuishi na mwanamke

Kuishi na mwanamke inatakiwa ujitoe ufahamu na upunguze uanaume wako ili uwe mume uendane na hali zao. Ukingangania uanaume utakereka sana na utavuruga ndoa
Hapa kuna kitu nimepata,nipunguze uanaume wangu this means nijitoe ufahamu pia....ila hilo nipo tayari pia
 
Unatamani kuishi na mwanamke.... !!!! Nilidhani unautayari wa kuishi na mwanamke....!!! Tamaa hupanda na kushuka....!!!
Lugha ndio haijakaa sawa,ila niamini mimi nataka kuishi na mwanamke,tena kwa dhati na kibaya sio mob physcology..
 
dah mzee nakushaur nenda kwa jiran hapo kenya,uganda au hata kwa mzee slim wajanja wameshtuka now tunaoa hukoooo mbali hapa home wote ni dada zetu
Mweeeeh,yaani inamaana bora kufunga safari kumbe
 
Lugha ndio haijakaa sawa,ila niamini mimi nataka kuishi na mwanamke,tena kwa dhati na kibaya sio mob physcology..
Hopefully utaendelea kujisikia hivyo... Hata hizi mvua na hii baridi kali itakapoisha....😛🙂🙁!!!!
 
Hopefully utaendelea kujisikia hivyo... Hata hizi mvua na hii baridi kali itakapoisha....😛🙂🙁!!!!
Halafu mimi nipo mkoa wa njombe,baridi ikitoka inapotoka inapumzika kidogo inaondoka,haihusiani na factor yeyote physical ni kuwa tu moyo wangu umefikia hatua hiyo,ni kama yai basi lafaa kuatamiwa
 
Kuna kitambo sana tangu nitingane na mwanamke niliyezaa nae,sasa nowdays kumekuwa na tumawazo twa kutamani kuwa na mtu wangu,ila sio wale niliowahi kuwa nao najitakia mpya,charming,anajua kazi za mke nk....unajua vile unajaribu kuimagine halafu unakuta nyumba inapilika kila kona,kingine kilichochangia haya mawazo juzi kati niliumwa yaani automatically mambo yakawa yanapwaya and u see the gape......
I have these feelings for a while now.
Tamaa mbaya sometimes
 
kama unatamani tuu....vizia shekilango from mori to........unaweza beba binti mzuriii.....ukamrekebishe....kutamani kukiisha....unamuomba akupishe...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom