Natamani kuishi bachela

Natamani kuishi bachela

Haya mavitu ni shida,mwingine ety amekuja kunitembelea,baada ya outing amelala hapa na jeans na t-shirt.nilijaribu kumvua mara moja tu akaresist nami namuonyesha ukauzu,sigusi papuchi yake.ila Nazima feni soon joto limtie adabu
 
Ushauri jaman,natamani kuishi bachela kwa sababu nahisi wife ananirudisha nyuma kimaendeleo na ananipa stress tu,lkn kinachonipa tabu ni mtoto tuliemzaa kwa sasa ana 3yrs najiuliza nianzaje ili nimuache

Wakati unauaga Ukapera wako kwa mbwembwe zote na mitarumbeta ulitushirikisha ili tukushauri huko Jehanam ulikojipeleka mwenyewe? Kuna Wimbo mmoja hivi wa Kidini huwa naupenda mno unasema " kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe na kila mtu atatwaa upumbavu wake mwenyewe ". Hivi ni Kwaya gani uliuimba huu wimbo?
 
Mifumo ya elim ina tuharibu sana watanzania.. tuna taka kufanya jambo mara moja na tupatie.. ukikosea umefeli haufai na hamna msaada zaid ya kuzidi kukutokomeza gizani... ila tuna sahau kua ukikosea ni atua nzur sana ya mwanzo wa kujifunza usicho kijua.. "wakat mwingine tuna jifunza kupitia makosa, na ukilipita hili utakua mwalim mzur kwa anae kuja"..

sasa tuje kwenye point.. nadhan kutaka kukimkimbia na stress unazo zipata ni matokeo ya kitu fln (tatizo) husika. Je umejaribu ku hainisha tatizo lenyewe? kama ndio umejaribu kutatua vipi? kama ki ushauri je ulimpata mtu sahih wa kusaidia utatuzi wa tatizo?.. ujue katika maisha ya ndoa kuna matatizo yanayo rekebishika haraka, mengine kidogo kidogo na mengine chance ya kurekebishwa ni ndogo hivyo una paswa kua mvumilivu.. upendo hujengwa na chuki pia hujengwa..

Hakuna kitu kisicho na kero na raha zake.. kila ndoa ina changamoto zake na kila mwanamke ana changamoto zake..matatizo yapo kila kona kikubwa ni uwezo wa kukabiliana nayo mkuu.. jitahidi kujenga, hata ukiondoka ukipata mwingine baada ya muda utafikia stage hii hii tena ya kuacha..

Mwisho ni kua tafuta watu sahihi wa kukusaidia.. si kila tatizo la ndoa utalifumbua mitandaoni, si kila mtu anaweza kukupa mwelekeo sahihi na wenye matunda...

Ahsante
 
Ulilazimishwa kuoa? Life is a series of choices.... Make one
 
Pole haukufanya maamjzi sahihi kama ni mkristo hasa madhehebu staarabu .hairuhusuwi
Uliyakoroga sasa unywee mpaka at the end of tym
 
Back
Top Bottom