Natamani kuhama siti....

Attachments

  • FB_IMG_1492859042297.jpg
    37 KB · Views: 26
Ukifika korogwe wakati wa kula, muda wakuondoka pakia basi lingine ujifanye umechanganya magari, mizigo utachukua arusha
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Pole sana kwa adha hiyo mm kuna siku nilikaa na abiria mwenzangu ananuka pua Alafu alikaa dirishani mda wote anafunga dirisha, niliona safari ya kutoka morogoro arusha kama natoka mbeya arusha
Ni hatariii.....
 
Hata Mimi nimepiga picha mazingira ya usafiri bus unapataje mda wa kuandika vitu kama hivi

Jf imekuwa kama fb watu wanatafuta likes na comments
Pole aisee, hilo povu sijui la sabuni gani mkuu. Nahisi nawe una tatizo linalofanana na huyu jirani tangible [emoji16] [emoji16] .. Jf umenikuta na utaniacha....
 
Pole aisee, hilo povu sijui la sabuni gani mkuu. Nahisi nawe una tatizo linalofanana na huyu jirani tangible [emoji16] [emoji16] .. Jf umenikuta na utaniacha....
Usidanganye na ID ninayotumia jf tumetoka nayo tangu inaitwa jambo forum hi ni ID nyingine tu
 
Kuna wanaume na vijanaume kwakweli sio kwa umbea huu khaa[emoji35][emoji57][emoji57]
Na usihame siti tulizana km vp msaidie manukato ulonayo ww SHWAINI
Pole nawe, ukinuka ujue unakuwa kero.. Najua mko wengi [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Pole nawe, ukinuka ujue unakuwa kero.. Najua mko wengi [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni hapo yakishanikuta kiongozi[emoji85]
 
ukionaaa hivyoo jua tayari ngombee kashapata mchunajiiii
 
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] ngoja nilianzishe mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…