Hahahahahahhahahahahaaha ntakupm picha yangu huyu eve nlisom nae anaishi kwa shangazi yake mbagala rangi 3 anajiuza kimboka sy typ yangu anapenda kujilinganisha na mie tell her to stay back wth me!
Everlyne Salt ana kisomo chake we umeumbiliwa unajikosha kwa uchovu wako bora UUFYATE nilikuwa na log in kwa ajili ya kukuumbua na multiple ID yako ,kama UKIACHWA ACHIKA UNAMNG'ANG'ANIA BABA YAKO MZAZI HUYO.

Legging inaweza kuchanika halafu itakutia joto bure, manake huko msibani kutakuwa hapatoshi, full msutano yani itasutwa mpaka maiti.....joto hasira tupu. So tumechagua mapensi kwa afya....ili hewa ipite.
We usitake kuniharibia mishe zangu, dili la sare nshaliwahi mapema hata marehemu mwenyewe anajua, tena rangi kanisaidia kuchagua....kama unabisha muulize kabla hajarest in peace jumla.
Uniwache na dili langu.