[emoji23] [emoji23] [emoji23]Tatizo wengi mnasoma bila kujua ni nini utafanya baada ya kupata cheti. Hili ni kosa kubwa
hahahahahapo hapo penye red nimepapendaC bora we umejiajiri wengne bado wanalishwa shukuru mungu kwa icho kidgo
mkuu tafadhali nakuomba toa copy za kutosha kuendelea kutafuta kazi halaf hivyo vyeti ulete nikuhifadhie usije ukavichana kweliAhsante kwa kunitia moyo, but sijui kama nitadumu na hivi vyeti nawaza kuvichana tu!
Kila jambo hapo liko sawa to the best of my understanding, yaani sijui ni nini!!Pole, usikate tamaa mwamini Mungu kuna siku atakupa hitaji la moyo wako
Thou kuna sababu nyingi sana zinazoweza kupelekea hiyo hali
1. Je CV yako umeiandika inavyotakiwa?
2. Je personality yako iko vipi unapoenda kuomba kazi mf: dress code, body language, attitude etc?
3. Referees uliowaweka ni watu watakaoongea mazuri kuhusu wewe?
4. Je unaenda kuomba kazi sehemu sahihi? unaweza kuwa unaenda kwenye office ambazo sio wao wanao recruit, wao wanaletewa tu employees.
All the best
Kwa jinsi ulivyonisaidia kujibu natamani hata kulia! Mpendwa, kuna watu wakipatia maisha walio katika shida wanawaona ni wapumbavu sana, they can provoke the way they want, Mungu anawaona!Siyo kwamba wengi wetu tunasoma bila kujua nini hatima baada ya kupata cheti, nadhani hujafanya utafiti wa uhakika. Unafikiri watu wanaokula ugari na mlenda wanapenda, wanaopanda daladala wanapenda, omba omba wanapenda :kama una uwezo wa kujaji, jaji kwa uangalifu. Hivi hujui kuwa waweza andaa shamba ukaumwa, magugu yakaota likakanda wakakuita mvivu. TUWE MAKINI NA HISIA, MIEMKO, FIKIRIA NA MAWAZO YETU. POLE DADA ANGU USIKATE TAMAA. SOMA DANIEL 1-5 au soma YOBU alivyo kuwa anaongea na Mungu