Natamani kila mtu apate nafasi ya kusoma tweet za Nape

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,034
144,388
Hata enzi za Mwl uzalendo ni pamoja na furaha!! Kununa sana sio dalili ya uzalendo! Kijana ukinuna kila mara utazeeka haraka!
IMG_20170709_191826.jpg

Evil begins when you begin to treat people like things!
IMG_20170709_192033.jpg

Mimi nakumbuka tu ili kauli yake ya 2015 kuwa CCM itashinda hata kwa goli la mkono.
Na maneno yake ya Dhalau ya kumfananisha mzee Lowasa na oili chafu.
Hata hivyo siasa haina adui wala rafiki wa kudumu leo hii Nape ni kipenzi cha chadema!
 
Acheni Nape na akina riz1 waisome namba. Malipo ni hapahapa duniani. Sizonje na Bashite wamekuwa vipofu kwa madaraka walihodhi ila nao siku yao itafika tena pale kisutu wakichuchumaa huku wamevaa bukta za wanariadha tukiwanyuka makonzi
 
Sijui kama kuna mtu amekuelewa vizuri kama Mimi

Dunaia ni shule tosha sema ukiwa madarakani huwezi dhani yatapita
 
Back
Top Bottom