contagious
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 528
- 344
TUNZA SASA HIYO NOAH NA SUBARU YAKO.Sisi wakulima wa TOMATO tushaisoma namba kusawasawaaa,maana BAKHRESA ndo alikuwa mteja wetu mkuu,sijui kachukia nini,hanunui tena nyanya,tuna uza mpaka 500 kwa ndoo wakati mwaka jana niliuza ndoo hadi 35,000 nikanunua NOAH na subaru,sasa tunalisha ng'ombe nyanya
Hivi unajua jinsi subaru inavo kule wese????TUNZA SASA HIYO NOAH NA SUBARU YAKO.
Uza nunua Vitz, hamna namna aisee!Hivi unajua jinsi subaru inavo kule wese????
Kuna mtu anaitaka sasa!Uza nunua Vitz, hamna namna aisee!
Ahaha basi taratibu usijali, umeshajifunza hapo siku nyingine ukipata pesa ya kununua gari utatazama kigezo cha Oil consumption kwanza! Tunasoma taratibu na kamluzi tunapiga!Kuna mtu anaitaka sasa!
Sinilijua mwaka huu nitauza MANYANYA kwa wingiiii,nikajua mafuta hayatakuwa shida kwangu,KIMENISANUKIA nafugia kukuAhaha basi taratibu usijali, umeshajifunza hapo siku nyingine ukipata pesa ya kununua gari utatazama kigezo cha Oil consumption kwanza! Tunasoma taratibu na kamluzi tunapiga!
Mkulima naye ahame nchi!?Duhh,aisee akili nyingine zinahitaji shule sana,maana hata mtoto wa nursery hawezi kuandika namna hii.
Mtaisubiri sana Nchi hii,fanyeni kazi acheni Umama,maisha yapo kawaida,kama mvivu ndio imekula kwako,na kama mpiga dili ndio kabisaa tafuta nchi ya kwenda
Endeleeeni kujifariji
mfumo gani uerekebishwa>? wa kufyatua?Sasa inarekebishwa tena hamtaki
Dj, mamvi wakwepa kodimfumo gani uerekebishwa>? wa kufyatua?
Hapana usifugie kuku, weka uwe unatoka nayo mara moja kwa wiki, ijumaa kama muumini wa ijumaa, ama jumamosi, ama jumapili, kwenda nayo kwenye nyumba za ibada tu, yale mafuta ya vibaba yatakuhusu lkn.Sinilijua mwaka huu nitauza MANYANYA kwa wingiiii,nikajua mafuta hayatakuwa shida kwangu,KIMENISANUKIA nafugia kuku
Dj, mamvi wakwepa kodi