Natamani....(I wish)

natamani kila demu ninatemsaundisha akubali!!!
 
natamani uchungu wa kujifungua unaompata mwanamke umpate mwanaume aliye mpa mimba, na mwanamke ajifunguwe bila maumivu yoyote.
 
natamani mizengo awe Rais alafu Makinda awe Waziri mkuu.
 
natamani kuwe hakuna kufa, wala kuzeeka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…