Wasiwasi wangu ni kwenye kampeni je CCM watachinja chinja kama walivyo fanya kule Igunga...lakini kwenye masanduku Chadema itashinda zaidi ya ya mwaka jana...
Natamani CCM ishinde kesi dhidi ya Lema, Nataman uchaguzi urudiwe, Nataman Magamba warogwe wa atempt kuchakachua Kura,for real ukombozi utaanzia Arusha...
Hii kila Mwana Arusha na M Tanganyika Yeyote mwenye Mapenzi Mema na Hii Nchi ataungana nami kwenye Kufunga na kusali ili hili litokee.
Magwanda mnawaza vurugu tu.
Magwanda mnawaza vurugu tu.
box la uchakachuzi?Arusha mstakhabali wake ni mgumu sana na umegubikwa na wingu zito. Tangu hawa jamaa CDM waingie hawajaweza kuonyesha nini wanaweza kuwapatia wanaArusha na kama ikitokea chance ya kurudia ama kweli CCM inaweza kurudi kwa kishindo. Downside ni kwamba WanaCDM ni wapiganaji wazuri ila wengi si wapiga kura kwa kuwa hawajajiandikisha. Hifikiria katika ndoto kama hatua ya kwanza ya mabadiliko. CCM wameshapita stage hii. Wao wanajua ushindi ni kwenye box tu.
Sijui ila it is gonna be very touch indeed for CDM.