mzozaji
JF-Expert Member
- Jul 28, 2010
- 255
- 13
JK angeweka Bandari wizara ya Ujenzi kama Viwanja vya ndege ili kuwashughulikia mafisadi wadogo pale Bandarini ingekuwa bomba sana. Nadhani hata wizi wa kijinga ungepungua pale. Naona mawaziri wa sasa na waliopita wanaishindwa kabisa Bandari ni aibu sana kwa Taifa.