Natamani angekuwa wangu...

Ungemalizia kwa kusema....nikashutushwa na mlio wa jogoo....kumbe ni ndotooo:madgrin:
 
mi nahisi hiyo ni story ya kwenye muvi la kibongo..........................linatoka lini hilo muvi????
 
yesu na maria uuuuwiii yaani we umeisha zini tayari looo bado kunasiana 2 cjui kama mwaka utaisha ujanasa maana namuona bwana mkubwa hapo pembeni anakuchungulia oooooh mmmmm eeee mungu msaidie kijana huyu
 
kwa maelezo uliotoa nyie ndo aina za wanaume malimbukeni mnauzaga nyumba za urithi, kha!
 
Kumbe hii ya romantic language ipo kweli? Nikajua ni chai tu.
Pole kaka. Tiririka, jilipue mwanawani.
 
go for it...you got to protect your dreams. Period!
 
Mwambie umbanjue hata kwa siku moja, utulize ugonjwa wa moyo
 
Mkuu huku uswahilini wetu wako wengi sana tatizo ni matunzo tuu...

atafte wake wa uswahilini ampige soap soap... Aone mtoto atakavyong'aa hadi amsahau huyo mfaransa.
 
yap ni kweli mkuu japo najua uswazi watoto waikehawana swaga zaidi ya kujua kusema "woooooooooow" tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…