Kiongozi acha tu wahenga walinena kua uyaone nadhani nimeshayaona na bado ntaendele kuyaona. Nimefikiria sana kuhusu kuachana na mke wangu lakini nimesema hapana kila nikiwatazama watoto wangu nashindwa kabisa kumwacha mama yao. Mara kadha nimeshamwambia kuwa yeye hakustahili kuolewa alitakiwa azalishwe alafu abaki kuishi kwao..... Naendelea kuvumilia Mkuu maana ujana nao una mwisho naogopa kuzeeka vibaya.I used to be very judgyy kwenye mambo ya mahusiano...ila kadri muda unavyoenda ndio nnavyojifunza kuwa things can get really complicated at times. Ukiacha wale ambao ni tabia yao kucheat day in day out....kuna watu hawakupaswa kuwa kwenye mahusiano na wenza wao kabisa!!
Anyway...pole sana ila ulikosea kuoa mtu ambae hukuwa unafurahia kuwa nae toka mwanzo.
Alafu if I may ask....nani aliyeoa?? Nani anaeishi na mkeo??? Wazazi au wewe??[emoji849][emoji849] Fanya maamuzi yako binafsi na mwenzie ili kuepushiana maumivu zaidi.
Huyu Kama kampenda KWELI amuoe hata huko bomani...japo sijui Sasa kanila lake litasemaje..CreditAnalyst sijui kwanini umefuta comment yako ila nakubaliana na wewe. Kama pande zote zikiridhia 100%....waoane tu kwakweli!
Mkuu kitu mapenzi iache kama ilivyo kama umeoa/olewa nadhani utaelewa kama bado utakuja kuelewa siku moja......Unaweza kufanya jambo pasipo shurutishwa badae ukija kutafakari uonaona haukuwa sawa......Cha msingi ni kuomba Mungu akukutanishe na mtu sahihi utafurahia maisha ya Dunia hii."kwa jinsi nilivyokutana na mke wangu kwa mara ya kwanza hadi tunaoana kwa tabia zake, sijawahi kabisa kufurahia mapenzi yake wala kuhusi na kuamini kuwa nimepata mwenzi wa maisha yangu"
MKUUU KUOA NAPO ULILAZIMISHWA NA WAZAZI?
Yaani hiyo kauli ungenitamkia Mimi hata Kama nakupenda vipi ningekubali tuachane kwa amani.Kiongozi acha tu wahenga walinena kua uyaone nadhani nimeshayaona na bado ntaendele kuyaona. Nimefikiria sana kuhusu kuachana na mke wangu lakini nimesema hapana kila nikiwatazama watoto wangu nashindwa kabisa kumwacha mama yao. Mara kadha nimeshamwambia kuwa yeye hakustahili kuolewa alitakiwa azalishwe alafu abaki kuishi kwao..... Naendelea kuvumilia Mkuu maana ujana nao una mwisho naogopa kuzeeka vibaya.
Acha tamaaa zakoWallahi Mimi Ni bora uniambie ukweli...Mimi nimeshaamua kuwa mkweli katika maisha yangu.... Sasa tunadanganywa to the extent huelewi huyu mtu kwanini afanye hivi...
Wanao waroga nawawaroge TU....shwain kabisa
Naona umejitahidi kubadili username lakini wapi. Naiona ileile ya zamaniHuwa Nashangaa Sana mtu anampondanganya na kucheza na hisia za mwenzake namna hiii...
Aiseee.... You guys don't know how it hurts kuwaste someone's time.
Wanaume bwana..sijui lini mtaacha ubinafsi.
😂😂 sasa yeye anadhani akichepuka na mke wae hachepuki? Au maana ya mwili mmoja keshaisahu?Hii comment kama hajamfata mke wake usiku huu arudi home sijui😀😀
kama mbwai iwe mbwaiMke wako sasa hivi na yee anakalia ukuni wa yule x wake huko home 😀 aisee dunia hii
Umesema kitu kikubwa sana Kiongozi. Nimeoa na nina watoto watatu wawili kwa mke wangu na mmoja alinikuta nae, kwa jinsi nilivyokutana na mke wangu kwa mara ya kwanza hadi tunaoana kwa tabia zake, sijawahi kabisa kufurahia mapenzi yake wala kuhusi na kuamini kuwa nimepata mwenzi wa maisha yangu. Kuna kipindi tulitaka kuachana kabisa kama sio wazazi hasa wazazi wangu kutusihi tusifanye hivyo. Nilivumilia mengi sana lakini kuna siku nilimweleza mke wangu kuwa kwa matendo anayonifanyia nalazimika kutafuta mwanamke mwingine nimwoe kwani sioni mwisho mzuri Kati yetu. Basi nikaanza kunusanusa taratiiibu nilikutana na mwanamke mmoja kwa kweli ni aina ya mwanamke ambaye mimi namhitaji katika maisha yangu. Nikawa nae kwenye mahusiano kwa miezi mingi kidogo lakini ilikuwa ngumu kumwoa kwa sababu nina mke tayari na wazazi wamesimamia uamuzi wao wa kutomwacha mke wangu yaani niliumia sana...Wewe mwanamke Nakupenda sana nakuombea kila lenye heri.
Wallahi Mimi Ni bora uniambie ukweli...Mimi nimeshaamua kuwa mkweli katika maisha yangu.... Sasa tunadanganywa to the extent huelewi huyu mtu kwanini afanye hivi...
Wanao waroga nawawaroge TU....shwain kabisa
Hii comment kama hajamfata mke wake usiku huu arudi home sijui[emoji3][emoji3]
I used to be very judgyy kwenye mambo ya mahusiano...ila kadri muda unavyoenda ndio nnavyojifunza kuwa things can get really complicated at times. Ukiacha wale ambao ni tabia yao kucheat day in day out....kuna watu hawakupaswa kuwa kwenye mahusiano na wenza wao kabisa!!
Anyway...pole sana ila ulikosea kuoa mtu ambae hukuwa unafurahia kuwa nae toka mwanzo.
Alafu if I may ask....nani aliyeoa?? Nani anaeishi na mkeo??? Wazazi au wewe??[emoji849][emoji849] Fanya maamuzi yako binafsi na mwenzie ili kuepushiana maumivu zaidi.
Mambo ya duniani Ni shughuli...mwanamke kuishi nae huwezi..kumuacha huwezi kuoa mke mwingine huwezi.....kumwambia mchepuko kuwa umeoa huwezi...unaogopa kumpoteza...
Khalas
Mwenyezi Mungu aliyajua haya ndo maana akawaruhusu muoe wake wanne
Huyo GuDume angemuoa TU huyo Mangi masikini...kabla hajawa single mother...nakuvurumushiwa matusi Kama yoote
..
Kiongozi acha tu wahenga walinena kua uyaone nadhani nimeshayaona na bado ntaendele kuyaona. Nimefikiria sana kuhusu kuachana na mke wangu lakini nimesema hapana kila nikiwatazama watoto wangu nashindwa kabisa kumwacha mama yao. Mara kadha nimeshamwambia kuwa yeye hakustahili kuolewa alitakiwa azalishwe alafu abaki kuishi kwao..... Naendelea kuvumilia Mkuu maana ujana nao una mwisho naogopa kuzeeka vibaya.
Huyu Kama kampenda KWELI amuoe hata huko bomani...japo sijui Sasa kanila lake litasemaje..
K