Hii comment kama hajamfata mke wake usiku huu arudi home sijui😀😀Mke wako sasa hivi na yee anakalia ukuni wa yule x wake huko home 😀 aisee dunia hii
Huwa Nashangaa Sana mtu anampondanganya na kucheza na hisia za mwenzake namna hiii...Kama huna mpango na mtoto wa watu si umwambie ukweli tu acha ubinafsi umeoa wewe
Na nawaza ndiyo hawa hawa tunakutana nao mitaani huko unakua deep inlove kwake kumbe limeshaoa huko aargh! Bora akwambie mapema ujue kama utaendelea kuwa side chick ama lah. Siyo fair kabisa wanaume nyie🤔🤔Huwa Nashangaa Sana mtu anampondanganya na kucheza na hisia za mwenzake namna hiii...
Aiseee.... You guys don't know how it hurts kuwaste someone's time.
Umesema kitu kikubwa sana Kiongozi. Nimeoa na nina watoto watatu wawili kwa mke wangu na mmoja alinikuta nae, kwa jinsi nilivyokutana na mke wangu kwa mara ya kwanza hadi tunaoana kwa tabia zake, sijawahi kabisa kufurahia mapenzi yake wala kuhusi na kuamini kuwa nimepata mwenzi wa maisha yangu. Kuna kipindi tulitaka kuachana kabisa kama sio wazazi hasa wazazi wangu kutusihi tusifanye hivyo. Nilivumilia mengi sana lakini kuna siku nilimweleza mke wangu kuwa kwa matendo anayonifanyia nalazimika kutafuta mwanamke mwingine nimwoe kwani sioni mwisho mzuri Kati yetu. Basi nikaanza kunusanusa taratiiibu nilikutana na mwanamke mmoja kwa kweli ni aina ya mwanamke ambaye mimi namhitaji katika maisha yangu. Nikawa nae kwenye mahusiano kwa miezi mingi kidogo lakini ilikuwa ngumu kumwoa kwa sababu nina mke tayari na wazazi wamesimamia uamuzi wao wa kutomwacha mke wangu yaani niliumia sana...Wewe mwanamke Nakupenda sana nakuombea kila lenye heri.Watu watakusema ila ukweli ni kwamba kuna watu (wake kwa waume) huwa na bahati mbaya ya kukutana na wale wanaowapenda haswa, soulmates wao perhaps , wakati wakiwa tayari wameshaoa ama kuolewa....and it's probably the best & the worst feeling all in one
Poleni sana wewe,mkeo na huyo dada maana hapo maumivu hayakwepeki!
Wallahi Mimi Ni bora uniambie ukweli...Mimi nimeshaamua kuwa mkweli katika maisha yangu.... Sasa tunadanganywa to the extent huelewi huyu mtu kwanini afanye hivi...Na nawaza ndiyo hawa hawa tunakutana nao mitaani huko unakua deep inlove kwake kumbe limeshaoa huko aargh! Bora akwambie mapema ujue kama utaendelea kuwa side chick ama lah. Siyo fair kabisa wanaume nyie
I used to be very judgyy kwenye mambo ya mahusiano...ila kadri muda unavyoenda ndio nnavyojifunza kuwa things can get really complicated at times. Ukiacha wale ambao ni tabia yao kucheat day in day out....kuna watu hawakupaswa kuwa kwenye mahusiano na wenza wao kabisa!!Umesema kitu kikubwa sana Kiongozi. Nimeoa na nina watoto watatu wawili kwa mke wangu na mmoja alinikuta nae, kwa jinsi nilivyokutana na mke wangu kwa mara ya kwanza hadi tunaoana kwa tabia zake, sijawahi kabisa kufurahia mapenzi yake wala kuhusi na kuamini kuwa nimepata mwenzi wa maisha yangu. Kuna kipindi tulitaka kuachana kabisa kama sio wazazi hasa wazazi wangu kutusihi tusifanye hivyo. Nilivumilia mengi sana lakini kuna siku nilimweleza mke wangu kuwa kwa matendo anayonifanyia nalazimika kutafuta mwanamke mwingine nimwoe kwani sioni mwisho mzuri Kati yetu. Basi nikaanza kunusanusa taratiiibu nilikutana na mwanamke mmoja kwa kweli ni aina ya mwanamke ambaye mimi namhitaji katika maisha yangu. Nikawa nae kwenye mahusiano kwa miezi mingi kidogo lakini ilikuwa ngumu kumwoa kwa sababu nina mke tayari na wazazi wamesimamia uamuzi wao wa kutomwacha mke wangu yaani niliumia sana...Wewe mwanamke Nakupenda sana nakuombea kila lenye heri.
"kwa jinsi nilivyokutana na mke wangu kwa mara ya kwanza hadi tunaoana kwa tabia zake, sijawahi kabisa kufurahia mapenzi yake wala kuhusi na kuamini kuwa nimepata mwenzi wa maisha yangu"Umesema kitu kikubwa sana Kiongozi. Nimeoa na nina watoto watatu wawili kwa mke wangu na mmoja alinikuta nae, kwa jinsi nilivyokutana na mke wangu kwa mara ya kwanza hadi tunaoana kwa tabia zake, sijawahi kabisa kufurahia mapenzi yake wala kuhusi na kuamini kuwa nimepata mwenzi wa maisha yangu. Kuna kipindi tulitaka kuachana kabisa kama sio wazazi hasa wazazi wangu kutusihi tusifanye hivyo. Nilivumilia mengi sana lakini kuna siku nilimweleza mke wangu kuwa kwa matendo anayonifanyia nalazimika kutafuta mwanamke mwingine nimwoe kwani sioni mwisho mzuri Kati yetu. Basi nikaanza kunusanusa taratiiibu nilikutana na mwanamke mmoja kwa kweli ni aina ya mwanamke ambaye mimi namhitaji katika maisha yangu. Nikawa nae kwenye mahusiano kwa miezi mingi kidogo lakini ilikuwa ngumu kumwoa kwa sababu nina mke tayari na wazazi wamesimamia uamuzi wao wa kutomwacha mke wangu yaani niliumia sana...Wewe mwanamke Nakupenda sana nakuombea kila lenye heri.