Mungu wangu huyu mbaba anagonga mlango nitakoma
Divorce
Mama mkwe wako ana miaka 70 na anafanya sex hii kali, hivi we umesoma mpaa high school au uliishia darasa la saba tu.
G-spot does not exist (orgasmic area haipo kabisa ukifika miaka 60 kwa wanawake) sa huyo mama mkwe wako ana miaka 70 na anayo bado....nadhani itakuwa mara ya kwanza dunaini kupata mwanamke ana miaka 70 na bado ana G-spot.
Wacha kumtukana mama mkwe wako kwa kumzulia anafanya sex, na mme wako kama ana akili pale unapo mwambia ni bora ukutwanga talaka tu urudi kwenu, unless liwe halijaenda shule nalo kama wewe.
Angekuwa baba mkwe wako ana miaka 120 na anafanya sex pale ninge amini.
Jifunze kumheshima mama mkwe wako, kwanz aungekuwa na heshima wew eungekuja msema mama mkwe wako hapa, hata kama hatukujui.
We kweli mshamba, wewe unadhani wa bibi wa zamani ni swa na wa siku hizi?
Wenzako wanatumia Hormone supplement na wana enjoy sex kama vigoli vile kwani hujui wamatumbi waliokimbilia ughaibuni hutumiwa na hivi vibibi kama sex toys.
wapi wewe zamani bwana!!!!!
Leta point ya kielimu hakuna wa zamani au wasasa wanao fika miaka 60 na wana G spot....Bado nabaki na msimamo wangu kuwa huyo mtoa thread hii ni muongo.We kweli mshamba, wewe unadhani wa bibi wa zamani ni swa na wa siku hizi?
Wenzako wanatumia Hormone supplement na wana enjoy sex kama vigoli vile kwani hujui wamatumbi waliokimbilia ughaibuni hutumiwa na hivi vibibi kama sex toys.
wapi wewe zamani bwana!!!!!
Mhh! .. huo mlango wa garage ulikuwa wazi? Nijuavyo mimi mlango wa garage haufunguliwi bila remote na si rahisi kuwa na gari la "your little secret" kwenye driveway yako. So, I think you just cooked this story.Niliingilia mlango wa garage.akimwambia mtoto wake kabla yangu ?
nimekuelewa... ndo maana wewe ni mkubwa na umeolewa. wala usithubutu kumweleza mumeo. na hata kulaumu kwakuto kusema. sijawai kufumania watu wakifanya. kumbuka nafasi ya mama ni very sensitive, ndo maana nilisema pamoja na strictness ya mumeo, hilo halimuhusu. kati ya vitu ambavyo mtu aweza kosana na mzazi wake au mkwe , hasa wa jinsia tofauti ni kuingilia mambo ya aina hiyo.. uliona baki nalo... umeshaona mangapi hapa duniani iwe mkwe ku cheat?. utambue wewe mbele ya mama mkwe wako si tatizo , kwani wewe ni mwanamke nae ni mwanamke haijalishi yeye ni mama mkwe ( ndo maana yeye na wewe mwaweza vua nguo msiogopane lakini si mwanae wa kiume. lakini mumeo ni mwanamme na yule ni mama yake. yaani mumeo kujua na kuzungumzia hilo ni kama kugusa mboni ya mama yake. take easy, achana nayo.Mume wa rafiki yake wakaribu mno.kila jumanne family dinner huyo mama yupo na mume wake.mama mkwe wangu Ana dementia labda kambaka.na ninahisi hii text ilitypiwa na yeye.naogopa kinoma.umeshawahi fumania watu unaowajua
Ana dementia
Si mnakumbua hata alikuwa anakuja na maneno mengi eti Obama atashindwa, tukawa tunamwambia asuburi tuone matokeo tarehe 06/11/2012....lakini akawa hasikii akawa anakuja tu na kelele zake...Naona kelele za Obama zimeisha, sa anamuandama mama mkwe wake :biggrin1:sasa huyo ndo Natalia,yeye akijisikia kuja na kijihadithi chake anakurupuka tu,akishtukia BAN hiyo