malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 2,780
- 2,716
Habari wakuu, nimefanya vipimo juu ya tatizo langu la nguvu za kiume..shida imekuja kuonekana kuwa mirija yangu ya kwenye uume ni miembamba haileti damu nyingi kwenye uume ili kuweza kufanya tendo kwa ufasaha na ikibidi kurudia roundi nyingine...
Kwahiyo daktari kasema kuwa hakuna tiba nyingine zaidi yakuwekewa vipandikizi ktk uume kufanya damu iflow kwa wingi kwenye uume... ili iweze kufanya uume usimame imara na uweze kufanya tendo na kuweza kurudia roud nyingene maana ilikuwa kurudia round ni baada ya masaa 8.
Wakuu ni njia sahihi tiba hii ya kuwekewa vipandikizi ktk uume?